Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Bora nicheki show ya mizengweMwanandoa hapatikani kwenye tv kama unaenda kununua shati dukani
Hapa umeongea kitu ambacho hata mimi naamini, kipindi kipo kutafuta mchumba ila wanaoenda ndo wanaleta drama and btw kipindi kipo very entertaining so unachek tu km una time mbona mieleka tunachek na iko scriptedIle show ni ya kweli ila sasa wanaoenda kutafuta na kutafutwa ndio sio wakweli. Wanaenda ili waonekane kwenye TV.
Hata hivo, hata watu wakipatana kweli baada ya show asilimi za kuachana ni nyingi sana. Kwa sababu mwanaume ndio anajinadi sifa zake.za.mwanamke hakuna zaidi ya mwonekano tu. Unategemea nini?
kila jumamosi saa moja na nusu usiku, hapa hapa ITVSanaa na wasanii.
wengi niwadada wakikiristo.hawajawahi kua naakilikila jumamosi saa moja na nusu usiku, hapa hapa ITV
Takbiiiirrr!!wengi niwadada wakikiristo.hawajawahi kua naakili
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Takbiiiirrr!!