Kumbe Simba mil 380 kwa mwaka Yanga bilioni 40

Kumbe Simba mil 380 kwa mwaka Yanga bilioni 40

Watu makini wakitaka kumwaga mboga na ugali huwa wanafanya hivi,kwanza unakusanya ushahidi,kama huna ushahidi wote basi angalau nusu ya kile utakachokilalamikia ili mbele za watu wenye uelewa mpana wasikudharau.

Huo mkataba kasema anao kashindwa nini kuwapa au kuwaonyesha waandishi wa habari?,mambo ya porojo nyingi bila ushahidi ni kutapatapa kwa mfa maji.
 
Kakwambia hawezi kumaliza silaha zote, anasubiri mtoke vichakani kuja kujibu aanze kurusha ushahidi sasa.

Ukiacha FACTS za wazi kabisa, kiujumla BIASHARA na UMAARUFU wa Haji ndiyo chanzo cha Mwamedi kutafuta namna ya kumuondoa.

Hivi hata wewe mtu mzima na akili zako, unaamini Mwamedi zile bilioni 21 kajitolea hapati faida! Kwamba yupo Simba kwa mapenzi siyo faida ya kibiashara! Unafahamu maana ya nembo za items /products zake kwenye jezi!

Mwamedi ni wivu dhidi ya Azam tu. Mtu aache mkataba wa kutangaza Azam products, umpe milioni tatu abaki kuwa msemaji na matangazo ya biashara zako!

Haji kazungumza FACTS.
 
Manara kaua leo kwamba kumbe wataniz etu walishaingia nkataba na Azam TV wa pesa kiduchu mil 380 kwa mwaka halafu wanajishaua kuuponda nkataba wa Yanga Afrika na Azam
Mkuu bil 41 kwa miaka 10 manaake ni bilion 4.1 kwa mwaka manaake pia ni kama Mil 342 kwa mwezi

Kwahiyo hela wanayopata Yanga kwa mwezi ni "almost" sawa na wanayopata Simba kwa mwaka😂😂😂😂

Dah ila Manara ana maneno ya kutuumiza sana wanaSimba
 
Manara pumzika kwanza Ili kurenew Mambo yako vizuri usije ukajikuta unazidi kujiharibia
 
Back
Top Bottom