Kakwambia hawezi kumaliza silaha zote, anasubiri mtoke vichakani kuja kujibu aanze kurusha ushahidi sasa.Watu makini wakitaka kumwaga mboga na ugali huwa wanafanya hivi,kwanza unakusanya ushahidi,kama huna ushahidi wote basi angalau nusu ya kile utakachokilalamikia ili mbele za watu wenye uelewa mpana wasikudharau.
Huo mkataba kasema anao kashindwa nini kuwapa au kuwaonyesha waandishi wa habari?,mambo ya porojo nyingi bila ushahidi ni kutapatapa kwa mfa maji.
Hapo ndio unajua tajiri hapendi maskini afanikiwe ili aendelee kumnyonyaMwamedi Ana roho mbaya tu sasa na ubilioner wote anamuonewa wivu kwenye vijitangazo tu
Aisee inasikitisha sana ndo maana kwenye viwada vyake kuna watu wanalipwa mpaka 7000Hapo ndio unajua tajiri hapendi maskini afanikiwe ili aendelee kumnyonya
Mkuu bil 41 kwa miaka 10 manaake ni bilion 4.1 kwa mwaka manaake pia ni kama Mil 342 kwa mweziManara kaua leo kwamba kumbe wataniz etu walishaingia nkataba na Azam TV wa pesa kiduchu mil 380 kwa mwaka halafu wanajishaua kuuponda nkataba wa Yanga Afrika na Azam
Viwada ndio niniAisee inasikitisha sana ndo maana kwenye viwada vyake kuna watu wanalipwa mpaka 7000