Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Hivyo vitisho mbona hawampi Lema, Mbowe na Sugu?????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninalo la kuandika. Jamii yoyote ya watu wanaojielewa wanajadili facts zenye ushahidi wa kujitosheleza.Tetesi ni kama habari ya kiuchunguzi hivyo mwenye lolote liwezalo kuifanya isiwe tetesi kwani anao ushahidi anaweka hapo. Huna la kuandika kula kona!
Unapaswa kutumia akili, unaona JF walio weka icon ya Tetesi walikuwa wajinga na hawakujua huo werevu wako?Ninalo la kuandika. Jamii yoyote ya watu wanaojielewa wanajadili facts zenye ushahidi wa kujitosheleza.
Tetesi ni jambo ambalo halina uthibitisho. Kama halina uthibitisho ina maana laweza kua kweli au sio kweli.
Sasa kwanini tujadili kitu ambacho hatuna uhakika kama ni kweli kimetokea, wakati kuna vitu vingi vyenye uthibitisho kwamba vimetokea?
Unaelewa nini walifanyiwa masheki wa Uamsho mpaka wakalalamika mahakamani? Acha kufikiri tunaongozwa na waungwana wakati sio kweli. Kuna tabia za kishenzi huwezi kuamini kabisa kwamba zinapangwa na watu haoHaiwezi kuwa kweli. Labda kama ni comedy
Kulawitiwa tena?Hii thread nimeipa hadhi kuwa ni TETESI hadi hapo itakapodhibitishwa.
Ni kwamba kuna watu wamelaumu sana wale wanaojitoa huku kwenda kule na kusema wanaunga mkono juhudi na kusema wanashawishiwa kwa pesa na vyeo.
Habari nilizokuta katika mtaani ni kuwa kuna kiongozi mmoja ambaye kesha timiza hilo lakini kakana kupokea pesa yeyote bali alitishiwa kimafia kabisa kuwa asipofanya hivyo atafanyiwa jambo baya la kulawitiwa na kupigwa picha na kusambazwa kwa jamii. Kweli kama ni hivyo mtu mwenye heshima kwa jamii na familia nyuma yake atafanyaje hapo?
Kwa maelezo yake sio wote wapewao fedha bali wengine wanatekeleza takwa hilo kulinda heshima zao tuu zisiharibiwe.
Kwa wajuzi wa mambo jee Tetesi hizi zaweza kuwa na mantiki? ukizingatia wengine muda mchache uliopita walitoa maneno makali sana kupinga mambo kadhaa iweje ghafla waseme wanaunga mkono?
JK alisema zakuambiwa changanya na za kwako
Ni kweli kabisa. Niliposikia wakati ule wale mashehe wa Zanzibar wanalalamika mahakamani kuwa wanaletwa watu mahabusu walipo wawadhalilishe sikuamini kabisa, lakini nimeanza kuona mantiki ya malalamiko yao.So tuna uongozi wa juu wa nchi unaofanya uchafu wa kulawiti...hii ni dhambi isiyosamehewa, naomba mkono wa Mungu upige kichwa cha kiongozi anayependa uchafu huu, hatupaswi kuongozwa na mashetani!
Kama ni kweli wanatishiwa kwa nini wasi report kwenye vyombo vya dola na kuwataja hadharani wanaowatishia?Hii thread nimeipa hadhi kuwa ni TETESI hadi hapo itakapodhibitishwa.
Ni kwamba kuna watu wamelaumu sana wale wanaojitoa huku kwenda kule na kusema wanaunga mkono juhudi na kusema wanashawishiwa kwa pesa na vyeo.
Habari nilizokuta katika mtaani ni kuwa kuna kiongozi mmoja ambaye kesha timiza hilo lakini kakana kupokea pesa yeyote bali alitishiwa kimafia kabisa kuwa asipofanya hivyo atafanyiwa jambo baya la kulawitiwa na kupigwa picha na kusambazwa kwa jamii. Kweli kama ni hivyo mtu mwenye heshima kwa jamii na familia nyuma yake atafanyaje hapo?
Kwa maelezo yake sio wote wapewao fedha bali wengine wanatekeleza takwa hilo kulinda heshima zao tuu zisiharibiwe.
Kwa wajuzi wa mambo jee Tetesi hizi zaweza kuwa na mantiki? ukizingatia wengine muda mchache uliopita walitoa maneno makali sana kupinga mambo kadhaa iweje ghafla waseme wanaunga mkono?
JK alisema zakuambiwa changanya na za kwako
Waondoke wote tutabakia na CHADEMA yetu na bendera kuliko kupenda shetani ccmKwa hiyo wakijiuzulu Ubunge au udiwani kwani ndio hawapotezi hishima?
Hiyo sijui ya kulawitiwa sijui kufwanywaje naona ni kisingizio tu cha kutafuta huruma.
Ila mlungula unahusika kwa asilimia kubwa, kukubali au kukataa inategemeana na msimamo wako.
Umenikumbusha Kova alivyokuwa anatoa statements zake mbele ya mediaHoja za waitara hazikuwa na mantiki kabisa, wakati anaongea macho na uso wake vilionyesha siri nzito...
Kama wewe ulivyo pindishwa na chakubangaWewe akili zako zimepinda
Tuombe uzimaMuulize CHAHALI knows better maana anasema kuna "KOMPROMAT", hata PAULO ame MKOMPOMAT mzee wetu. Amesema ipo siku ataelezea jambo hili vizuri.
Chakaza hebu tupashe ubongo moto kidogo. Hivi leo hii mimi au wewe akikufuata mtu na akakuambia acha kazi yako hama nyumba yako uliyojenga unayoishi la sivyo atatafuta watu wakulawiti, kukupiga picha na kuzisambaza utahama? Nadhani atakayeamini tetesi kama hii atakuwa na ubongo nusu. Unataka kuniambia kuwa sasa wanawaume wa Tanzania wamekuwa waoga kiasi ambacho wako tayari kufanya lolote wanaloamriwa na majambazi ili tu wasilawitiwe na kupigwa picha?Hii thread nimeipa hadhi kuwa ni TETESI hadi hapo itakapodhibitishwa.
Ni kwamba kuna watu wamelaumu sana wale wanaojitoa huku kwenda kule na kusema wanaunga mkono juhudi na kusema wanashawishiwa kwa pesa na vyeo.
Habari nilizokuta katika mtaani ni kuwa kuna kiongozi mmoja ambaye kesha timiza hilo lakini kakana kupokea pesa yeyote bali alitishiwa kimafia kabisa kuwa asipofanya hivyo atafanyiwa jambo baya la kulawitiwa na kupigwa picha na kusambazwa kwa jamii. Kweli kama ni hivyo mtu mwenye heshima kwa jamii na familia nyuma yake atafanyaje hapo?
Kwa maelezo yake sio wote wapewao fedha bali wengine wanatekeleza takwa hilo kulinda heshima zao tuu zisiharibiwe.
Kwa wajuzi wa mambo jee Tetesi hizi zaweza kuwa na mantiki? ukizingatia wengine muda mchache uliopita walitoa maneno makali sana kupinga mambo kadhaa iweje ghafla waseme wanaunga mkono?
JK alisema zakuambiwa changanya na za kwako
Mzee hiyo sio style, huo ni mchakato mrefu sana hadi kufikia huko. Subiri utakuja yasikia. Na sio wote wanakuwa approached namna hiyo wapo wa mshiko piaChakaza hebu tupashe ubongo moto kidogo. Hivi leo hii mimi au wewe akikufuata mtu na akakuambia acha kazi yako hama nyumba yako uliyojenga unayoishi la sivyo atatafuta watu wakulawiti, kukupiga picha na kuzisambaza utahama? Nadhani atakayeamini tetesi kama hii atakuwa na ubongo nusu. Unataka kuniambia kuwa sasa wanawaume wa Tanzania wamekuwa waoga kiasi ambacho wako tayari kufanya lolote wanaloamriwa na majambazi ili tu wasilawitiwe na kupigwa picha?
Nacho tendewa huyu siyo atendewacho yule. Hiyo vitisho madiwani wengi ndio waathirikaHivi utamlawiti Mkurya tena Waitara? kapitia kote mpaka UDSM
ina maana hajui TISS wako wapi polisi hata mbinu za kikurya
hebu acheni visababu vya uongo