Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 9,504
- 20,293
Nilidhani mtu ukifanikiwa, ukastaafu na kuzeeka basi wivu na bifu za kitoto basi unawaachia vijana, lakini sio kwa huyu mzee
Inaonekana ilimuuma sana Arsenal ilivyochukua ubingwa wa EPL na kufika fainali ya UEFA huku timu yake ukiwa inampa matatizo ya moto, japo imepata unafuu sasa hivi
Hebu cheki ujumbe aliotuma kwa PSG
Inaonekana ilimuuma sana Arsenal ilivyochukua ubingwa wa EPL na kufika fainali ya UEFA huku timu yake ukiwa inampa matatizo ya moto, japo imepata unafuu sasa hivi
Hebu cheki ujumbe aliotuma kwa PSG