Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 9,504
- 20,293
Mi Arsenal damu, huyu Mzee yuko sahihiNilidhani mtu ukifanikiwa, ukastaafu na kuzeeka basi wivu na bifu za kitoto basi unawaachia vijana, lakini sio kwa huyu mzee
Inaonekana ilimuuma sana Arsenal ilivyochukua ubingwa wa EPL na kufika fainali ya UEFA huku timu yake ukiwa inampa matatizo ya moto, japo imepata unafuu sasa hivi
Hebu cheki ujumbe aliotuma kwa PSG
View attachment 3599234
Habari ni ya kupotosha ila pamoja na hapo sioni kosa la hiyo twitHapo hakuna chuki, labda neno BORING ndo limekusikitisha Tu, but ni ukweli huo...hata hivyo ni ngumu kuamini kuwa huyo ni Ferguson lazima kuna maneno yameongezewa.
Changamoto yako ipo kwenye kumpangia mtu cha kuandika/kuongea,kutafsiri mambo ya watu wengine kwa kujiamulia tu na hangover ya wenge la Arsenal kuchabangwa fainali na PSG.😛😛😛😛😛😛😛Kwa umri wake hakupaswa kuwa hivi, nilidhani angeipongeza hata Arsenal Kwa kustruggle kote hata kuchukua EPL na kufika Final UEFA.
Tena chini ya kocha kijana Mikel Arteta.
Huyu Mzee ni mjinga alipaswa kuficha ujinga wake.
Arsenal mwenyewe Hana kikosi cha gharama,basi tu alipambana sana
Nilidhani mtu ukifanikiwa, ukastaafu na kuzeeka basi wivu na bifu za kitoto basi unawaachia vijana, lakini sio kwa huyu mzee
Inaonekana ilimuuma sana Arsenal ilivyochukua ubingwa wa EPL na kufika fainali ya UEFA huku timu yake ukiwa inampa matatizo ya moto, japo imepata unafuu sasa hivi
Hebu cheki ujumbe aliotuma kwa PSG
View attachment 3599234
Hupendi ukweli.Nilidhani mtu ukifanikiwa, ukastaafu na kuzeeka basi wivu na bifu za kitoto basi unawaachia vijana, lakini sio kwa huyu mzee