Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani nao wanatoa huduma ama vipi?Mkuu hiyo ni kawaida sana maeneo hayo. Kuna chimbo liko hapa Buhongwa, nasikia hadi polisi wanapewa chochote kitu ili chimbo liendelee. Ulizizia chimbo linaitwa 'Mudo'.
Nop, pesa mkuu. Siku moja nilipita pale wale madada wakawa wanasema huwa wanachanga pesa wanatoa kwa hao jamaa.Yaani nao wanatoa huduma ama vipi?
Hayo makavu ya kitoto,kawape wadada wenzio. Mimi kwangu gari sio kitu nimeanza kumiliki gari toka 2011. Kuna vitu vya kuringia watu sio gariSi nawapa makavu wale wanaobisha watu wa Jf hatuna magari. Relax
Hayo makavu ya kitoto,kawape wadada wenzio. Mimi kwangu gari sio kitu nimeanza kumiliki gari toka 2011. Kuna vitu vya kuringia watu sio gari
Dah, inauma sana kwa dada na mama zetu hawa. Wengine unakuta ni mabinti wadogo kweli! 😥Duuuh saizi imekuwa jambo la kawaida sana,hapo Riverside ubungo napo saizi pamoto,kuanzia Kinyaiya Pub unashuka mpaka Kituo cha Mabibo hostel ni malaya tu wamejipanga na wanawahi sana,kuanzia 1830pm wameshajipanga, inasikitisha sana cos wengi ni mabinti wadogo sana kiumri
Achana na nilipoanza. Sasa hivi namiliki ndege aina ya chopaSijakuuliza😂😂😂😂eenhee ukaanza na aina gani
Achana na nilipoanza. Sasa hivi namiliki ndege aina ya chopa
Inasikitisha sana,ni jambo linaloumizaDah, inauma sana kwa dada na mama zetu hawa. Wengine unakuta ni mabinti wadogo kweli! 😥
Kabisaa!Inasikitisha sana,ni jambo linaloumiza
Vipi kaka tumlaumu Nyerere au tumlaumu wenyewe kwa kuzikubali fikra zisizo sahihi za muasisi wa taifa?Sikujua mkuu. Sijapata hiyo habari. Poleni wana nzengo
Kwa mujibu wa Lissu hiyo ni faragha, haipaswi kuingiliwa.Kwa hiyo pale ni faragha?
Naona bwana mdogo unawapambania dada na shangazi zako kwenye biashara yenu pendwa ya zama na zama.Kutaja Hilo chimbo uoni police wataenda hapo kuwasumbua kwann ujaamua kukaa kimya maana unaelewa mtaani Maisha yalivyo Magumu so police wakiwakamata unajua what going on?
Sawa ni kweli uliongea na huyo na umeishaeleza.Nimesema niliongea na yule dada aliyetaka tutafute chumba
Haaaahaaa mkuu pale ni hatari nadhani litakuwepo ni ngumu sana haya machimbo kufa. Pale ikifika saa moja tu kazi inaanza yaani watu wanagaragazana kwenye nyasi. Ikipita gari unaona viuono tu vinachezacheza af wakiona gari la patroo wanatimua mbio na nguo zao mkononi yaani pale kirumba ni vichekesho vitupu.Hivi lile chimbo la CCM kirumba Bado lipogooo wakuu🤣
Next month nakuja hapo,ntakutafuta mkuu unionyeshe hizo chimbo nikate kiuuu,nina kiu hatari jombaa,ntaka nipambane na hao wala sangaraMkuu wa huko Dar na mikoa mingine wanalipa Ushuru? au jiji linafaidika vipi na hiyo biashara pendwa? Mfano jiji la Kifirauni Dar limefaidika vipi na hiyo biashara. Acha watu wapige kazi mkuu na sio hapo Nyegezi tu maeneo mengi hapo Mwanza wanawake wanakodisha vikojoleo vyao, mfano Villa parck, Daimond, Bundasilga, Buhongwa pote hawalipi ushuru acha watu wapige kazi.