Kumbe Sultan Jamshid Alifurahia Kuuawa kwa Karume!. Alitaraji Kurejea Kama Sultani, Kumbe...

Umeandika vizuri sana ila umekosea sentensi moja tu ambayo imefuta maana yote ya Makala yako, maalim Seif Sharif Hamad ni kipenzi cha wazanzibari kwa hiyo ishu sio rangi nyeusi au ya kiarabu
Nadhani Hujamuelewa Pasco. Maalim Anaogopwa Na Watawala Na Si Raia
 
Pasco na Mohamed said wote ni wachochezi..wanatofautiana dini tu..mmoja mkristu mwingine muislam
Pasco huwezi kumfananisha na Mudi.Mudi ni hatari sana kwa ustawi wa nchi hii.
Hakika huyo mudi angekuwa mwandishi na mwenye kuendesha mihadhara ya maandiko yake basi tungeshampoteza ama nchi hii ingeshapotea
 
Nani kakudanganya kuna taifa kubwa litakuwa pamoja na Seif au ni zile statement za usa and eu. Zile ni statement tu sio support au endorsement ya Seif. Msidanganyike hata kidogo hakuna kitu pale mtaishie segerea
 
Kumbe Sultan Jamshid Alifurahia Kuuawa kwa Karume!. Alitaraji Kurejea Kama Sultani, Kumbe...Mapinduzi Daima!. Muungano Milele. Pasco

Pamoja na facts zote hizi, wale machotara wa Pemba bado watabisha, hata ukimkumbussha umekuwa chotara sababu wale Waarabu waliotawala hapa, waliokuwa wanawauza kama kuku au mbuzi, waliwalawiti na kuwabaka mama na bibi zenu, ndio mkatokea, watabisha, ukiwakumbusha asili ya Pemba na Unguja, au binadamu wa kwanza walioshi huko visiwani ni WABARA wa pembezoni mwa Tanganyika(Tanga, Dar es Salaam, Mtwara, Lindi, Kilwa) bado watabisha, sasa sijuwi tuwasaidie kivipi?! Na ni kwanini kelele zote hizi zapigwa na machotara tu?!
 
Kwanza mleta habari ni lazima ujue kuwa Aman Abeid Karume siyo shujaa na wala hakushiriki mapinduzi ya Zenji, kumbuka wakati mapinduzi yakifanyika karume hakuwepo wakati ule yeye alikuja baada ya kazi kuisha. Shujaa na mwanampinduzi halisi ya Zamzibar ni field Marshal Okello raia na mwanajeshi kutoka Uganda, akina Karume kwakuona hivyo walimfanyia dhuluma ili eti asije akawa rais wa Zenji. Hii ndo kweli tupu ya historia ya mapinduzi ya Zenj.
 
Pasco shikamoo kaka!
 
Mkuu Jebbs,damu ni nzito kuliko maji!!
 
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa!, walijiondokea wenyewe!, hakuna yoyote aliyekuwa akimtafuta sultani ni uoga tuu ndio ulimkimbiza

Kamwe Mapinduzi ya kuangamiza maisha ya watu hayawezi kuwa matukufu! Ni kweli si waarabu, hizbu wala ZPPP waliofukuzwa Zanziba,rlakini waliondoka kusalimisha/ kunusuru roho zao na mauaji ya kinyama yaliokithiri na kufurutu ada yaliyowalenga jamii hizo za kisiasa!


The bodies of Arabs,in a mass grave,killed in the post-revolution violence as photographed by the Africa Addio film crew


Hawakumtafuta Sultan Jamshid kwa vile sio kusudio ya Mapinduzi na pia sio kiongozi (executive) wa Zanzibar. Ndio hizi kasumba zinazosambazwa kuwa Jamshid anataka kurudi kuja kutawala ni siasa za maji taka za CCM tu! "Wanyime elimu ya dunia na kufikiri, waimarishe watoto wetu elimu tupate kuwatawala milile ( Usultani mambo leo)" Slogan hii ndio inayotekelezwa Zanzibar

Serikali Iliopinduliwa ni serikali halali ya Mzanzibari mweusi hayati Mohammed Samte, Waziri mkuu wa kwanza mzalendo. Saa kumi na mbili asubuhi tayari alikwishatiwa mbaroni na kuanza " kusulubiwa"

Mganda kutoka Wilaya ya Lango, jailbird and rapist, (self styled)Field Marshall John Okello, alitoa fatwa kwa Sultan Jamshid kupitia redio, Sauti ya Unguja." Nakutaka Jamshid uwaue (watu wa) familia yako na halafu ujiue wewe mwenyewe, vinginevyo kazi hiyo nitaifanya mweyewe"


PASCO tafadhali soma kipande hiki

John Okello
From Wikipedia, the free encyclopedia

The highly religious Okello was convinced he had been given orders in his dreams by God to break the powerful position of the Arabs and to found a revolutionary state on Zanzibar and Pemba. Okello also said that he received orders from God, when still in Uganda, by how he observed the position of stones in a stream. On the night before the revolution, Okello gave his men the order to kill all Arabs between 18 and 25 years of age, to spare pregnant and elderly women, and not to rape virgins - COMMENTS RESERVED
 
Kuna watu wanakataa kumbukumbu hii...
Tarehe 9Dec1961 akiwa TANU Bw.Kingunge ngombale Mwiru alipandisha Mwenge wa Uhuru Mlima Kilimanjaro akiongozana na Wanajeshi wa KAR.
 
Kwahiyo alipokuwa serikali ya CCM huyo maalim hamkujua ni mtoto wa sultan mpaka pale anapogombea urais kupitia CUF??? je mlipompa umakam wa Rais hamkujua ni mtoto wa sultan???

Pasco unashangaza sana
 
Kumbe huna unalofahamu wwe

Hivi unajua majimbo mengi yenye uungwaji mkono wa maalim yaliunganishwa ila yale yenye ccm wengi hasa unguja yaligawanywa ili kuongeza Gap ya wawakilishi kati ya CCM na CUF???

Hivi umesahau mwaka 2000 mpaka mkafanya uchaguzi kwa mafungu na uhuni wote ule au unafkiri wote tulikuwa watoto enzi zile??

Wazee wenye heshima kma Ahmed Salim, Amani karume hawa wote kwa nyakati tofauti wamekiri maalim ameibiwa chaguzi zote ndio maana wakapendekeza iundwe SUK itakayomuingiza maalim serikalini sasa sijui tukuamini wewe au Amani karume???

Kingine kama maalim hajawahi kuibiwa mbona hamjakamata mzee Nassor Moyo ambaye alijiunga CCM ukiwa hata hujazaliwa na aliyehama CCM kwa kukiri maalim anaonewa na yeye alitumwa kwenda kumshawishi akubali matokeo alipoibiwa kura mwaka 2010?? Sasa kma hao wote wazee wazito wa CCM wanakiri wewe ni nani kukataa kuwa maalim hajawahi shindwa??

Liko wazi kabisa CCM imechokwa zanzibar sema mnatumia mabavu kubaki madarakani ila mkae mkijua mtavuna mnachopanda..... Sio leo wala kesho ila miaka mingi ijayo mtakuja kujutia haya mabavu yenu ya kuwagawa wazenji kwa misingi ya vyama na asili!!!

Anyway msalimie jecha
 
Shein katokea upande gani ???? Ni mpemba au muunguja??? Ukipata jibu niambie kwanni shein sio seif??
 
Pascali, kuhusu kufarahia mauaji ,je wajua 'wana mapinduzi daima' walifurahia mauaji ya watu wangapi baada ya mapinduzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…