Wasanii wa zamani wanarudi kivingine
GK-diva
T.I.D- recho
Bushoke- jini kabula
Umesahau
Joti-Lulu
Mmmh hao si wapo kwenye shindano!!!Umesahau
Joti-Lulu
Mmmh hao si wapo kwenye shindano!!!
usinambie kajoti kanamdandia lulu
Asee haya acha wafaidiane, ndo maana wanaitana baba na mama mchina kumbe wanamaanishaHao ndo wamemake headline,inasemekama ni kweli na joti keshagombana na mchumba wake yule mdogo wake bushoke kisa kikubwa ni lulu.
Umesahau
Joti-Lulu
Umesahau
Joti-Lulu
na joti alisemaga anazimikia bidada mwenye m.a.t.a.k.o makubwa sasa lulu si ndo mulemule!
huyu si alitangazaga anaona mwaka jana? ile ndoa sijui iliyeyukia wapi.....
Tena ilikuwa wakati wa msiba wa ngwea akaulizwa sijui nini akajibu yuko busy anataka kuoa..mxxxx
Umesahau
Joti-Lulu
john komba-ray c
Ss hv tutackia rechol nae teja.