Kumbe T.I.D Mnyama anatoka kimapenzi na Recho wa THT

Kumbe T.I.D Mnyama anatoka kimapenzi na Recho wa THT

Hao ndo wamemake headline,inasemekama ni kweli na joti keshagombana na mchumba wake yule mdogo wake bushoke kisa kikubwa ni lulu.
Asee haya acha wafaidiane, ndo maana wanaitana baba na mama mchina kumbe wanamaanisha
 
Hakuna utani juu ya hilo pacha mwenzie mdogo wake Bushoke amethibitisha hilo ambaye ndugu yake ndo anapunguzia stress kwa Joti.Hao mapacha ni wale waliopo kwenye nyimbo ya maunda zorro,wamesoma jamhuri sec,dodoma.
 
huyu si alitangazaga anaona mwaka jana? ile ndoa sijui iliyeyukia wapi.....

Tena ilikuwa wakati wa msiba wa ngwea akaulizwa sijui nini akajibu yuko busy anataka kuoa..mxxxx
 
Tena ilikuwa wakati wa msiba wa ngwea akaulizwa sijui nini akajibu yuko busy anataka kuoa..mxxxx

aliulizwaga kwa nini amekataa kumuunga mkono jide kwenye ile show ya mwaka jana ambayo ilipangwa siku moja na show ya mwana fa ndio akajibu hivyo...
 
eboo wanaume woote akaenda kwa huyo teja bora angeopoa hata konda wa daladala,au dereva bodaboda
 
Back
Top Bottom