Kumbe T.I.D Mnyama anatoka kimapenzi na Recho wa THT

naona rachel anapita kila njia na hatua alizopita role model wake ray -c safi .......
 
huyu si alitangazaga anaona mwaka jana? ile ndoa sijui iliyeyukia wapi.....

Mke mtarajiwa alipigwa mimba na mchezaji mmoja anayechezea timu moja nchini urusi kwahiyo jamaa akabaki solemba
 
ngoja niwaambie hii..
RECHO ni mvutaji mzuri wa bange na madawa... taarifa hizi nimethibitisshiwa na kaka yangu mfanyakazi wa TPA kuwa kina recho wanachukuliwa kiaina...T.ID ndio teja mda mrefuuuu
 
wote ni waathirika wa ile kitu mbaya



by the way huyu tid si mzee kabisa mpaka leo anadate badala kuwa teyari na familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…