unatakiwa kuwa na hasira na upumbavu wako na sio vinginevyo!..... cha kwanza, hivi unajua kuna wazungu wasiojua kingereza?
kwani uongo?!! kama lugha ya kufundishia ni kingereza, lazima ujue kingereza ndo uelewe somo. vilevile kama lugha ya kufundishia ni kireno, lazima ujue kireno ndo uelewe somo. Mtu kama haelewi lugha ya kufundishia ataelewaje somo? atakuaje msomi?
Bala= Bara: Ni muhimu kuelewa unacho-copy na ku-paste, na hiyo inahitaji msomi!! tunarudi pale pale!!
Wanaokosoa kingereza hawajaelewa bango! hao tutawaita wajinga, sasa wewe unaokosoa waliokosoa bango kwa kutetea upumbavu mwingine sijui tukuweke kundi gani?!!