Kumbe tatizo la kiingereza lipo hadi middle economy

Ila mzungu nooooma yaan miafrika ipo kuangaika na kurekibishana lugha ambayo sio yao ebu tuige bala la Asia tuondokane na huu upumbavu eti ukikosea kuandika kiingireza eti hujasoma PUMBAVU Asia ana copy na kupaste vitu vya msingi sisi tuko kukosoana lugha NYAMBAFU. nina hasira na huu ujinga wahuusika toeni huu uzi hapa jf nenda huko kwa wajinga wenzio fb
unatakiwa kuwa na hasira na upumbavu wako na sio vinginevyo!..... cha kwanza, hivi unajua kuna wazungu wasiojua kingereza?
eti ukikosea kuandika kiingireza eti hujasoma
kwani uongo?!! kama lugha ya kufundishia ni kingereza, lazima ujue kingereza ndo uelewe somo. vilevile kama lugha ya kufundishia ni kireno, lazima ujue kireno ndo uelewe somo. Mtu kama haelewi lugha ya kufundishia ataelewaje somo? atakuaje msomi?
ebu tuige bala la Asia tuondokane na huu upumbavu.............Asia ana copy na kupaste vitu vya msingi
Bala= Bara: Ni muhimu kuelewa unacho-copy na ku-paste, na hiyo inahitaji msomi!! tunarudi pale pale!!
nenda huko kwa wajinga wenzio fb
Wanaokosoa kingereza hawajaelewa bango! hao tutawaita wajinga, sasa wewe unaokosoa waliokosoa bango kwa kutetea upumbavu mwingine sijui tukuweke kundi gani?!!
 
unatakiwa kuwa na hasira na upumbavu wako na sio vinginevyo!..... cha kwanza, hivi unajua kuna wazungu wasiojua kingereza?
kwani uongo?!! kama lugha ya kufundishia ni kingereza, lazima ujue kingereza ndo uelewe somo. vilevile kama lugha ya kufundishia ni kireno, lazima ujue kireno ndo uelewe somo. Mtu kama haelewi lugha ya kufundishia ataelewaje somo? atakuaje msomi?
Bala= Bara: Ni muhimu kuelewa unacho-copy na ku-paste, na hiyo inahitaji msomi!! tunarudi pale pale!!
Wanaokosoa kingereza hawajaelewa bango! hao tutawaita wajinga, sasa wewe unaokosoa waliokosoa bango kwa kutetea upumbavu mwingine sijui tukuweke kundi gani?!!
asante mkuu kwa hili...
 
KWANI HATA HILI TANGAZO SIO LETU!! SISI HUWA HATUUZI MBWA NI WAO WANAOKAA NA WAZUNGU NDIO HUWA WANAUZA SISI MBWA TUNAWAACHA WAZURULE TU........
english tangazo mbwa.jpg
 
unatakiwa kuwa na hasira na upumbavu wako na sio vinginevyo!..... cha kwanza, hivi unajua kuna wazungu wasiojua kingereza?
kwani uongo?!! kama lugha ya kufundishia ni kingereza, lazima ujue kingereza ndo uelewe somo. vilevile kama lugha ya kufundishia ni kireno, lazima ujue kireno ndo uelewe somo. Mtu kama haelewi lugha ya kufundishia ataelewaje somo? atakuaje msomi?
Bala= Bara: Ni muhimu kuelewa unacho-copy na ku-paste, na hiyo inahitaji msomi!! tunarudi pale pale!!
Wanaokosoa kingereza hawajaelewa bango! hao tutawaita wajinga, sasa wewe unaokosoa waliokosoa bango kwa kutetea upumbavu mwingine sijui tukuweke kundi gani?!!
Tehehehehe!
 
Aliyeandika bango rafudhi za kikabila chake zimemponza. Amekuwa akitamka silabi 'r' katika pahala pa 'l'. Hivyo aliposema "no reforms, no erection" yeye hakumaanisha kwamba "kama hakuna mageuzi/mabadilikl, hakuna kudinda/kudisa"
Bali amemaanisha "kama hakuna mageuzi, hakuna uchaguzi"
Mkuu hujasoma bango la chini. Jamaa anamaanisha kama hakuna reforms basi yeye hatasimamisha mashine na kushiriki tendo na mkewe. Kifupi anagomea kujamiiana na mkewe(wakenya mke wanaita bibi) hadi hayo marekebisho au mabadiliko yafanyike.
 
Hapo alimaanisha wasiporekebisha matatizo yaliyomo aki hawatodindisha(erection).
Ndo yalayale ya Rombo,sasa Leo zamu yao ngoja niwahi Kupata Room walau Tarakea.
 
Huyo MTU hajakosea chochote alichotaka kusema ndiyo hicho hicho, bila Chiloba kuondoka hata lala na mkewe. Because one of the reform they want is Chiloba out of IEBC. So if he stays he won't have an erection.
 
Majority of the Tanzanians do not read for comprehension but but for fulfilling the syllabus and such the reading pops up with the very inept judgement!!! No erection indeed during these moments!!
 
Some Tanzanians think the words Irony and Iron means the same thing.
 
Back
Top Bottom