Kumbe tatizo la kiingereza lipo hadi middle economy

Tz boy 4tino

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2014
Posts
1,598
Reaction score
1,822
Kiongozi wa maandamano jijini Nairobi akionyesha waandishi mabango kuonyesha hisia zake.

No reforms
No erection !!!..
FB_IMG_1507740472375.jpg
 
Kiongozi wa maandamano jijini Nairobi akionyesha waandishi mabango kuonyesha hisia zake.

No reforms
No erection !!!..View attachment 607124
Mkuu hauko familiar na kauli mbiu za NASA za kutocheza na papuchi kipindi kwenye chaguzi za Kenya au .[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Ila Odinga ana hatari, hivi kweli nayeye huwa hachezei papuchi kipindi cha chaguzi au ni ku promote brainwashing to party followers across Kenya .Sometimes politics is madness!
 
Hivi wewe umeelewa nini maana ya huo ujumbe au umekurupuka tu uwe wa kwanza kupost.
1academ hebu mpe huyu mleta mada dosi ya picha.
 
Kiongozi wa maandamano jijini Nairobi akionyesha waandishi mabango kuonyesha hisia zake.

No reforms
No erection !!!..View attachment 607124
Forget the purported message ...that guy should be taken to Pakistan or Iran to be stoned for blasphemy .That lower sign is sooooo offensive to God and to many people .Ati Raila ni mungu na ndiye roho nini?
 
erection and election are two different words with two different meanings...mbona unajiaibisha? ameandika neno erection makusudi na wala sio makosa ama shida za lafudhi...1academ kazi wako
 
Aliyeandika bango rafudhi za kikabila chake zimemponza. Amekuwa akitamka silabi 'r' katika pahala pa 'l'. Hivyo aliposema "no reforms, no erection" yeye hakumaanisha kwamba "kama hakuna mageuzi/mabadilikl, hakuna kudinda/kudisa"
Bali amemaanisha "kama hakuna mageuzi, hakuna uchaguzi"
 
emoji23.png
emoji23.png
why are Tanzanians always this ignorant & stupid??? lol!
 
Watanzania wenzangu mnaniangusha yaani kitu ipo wazi alikuwa anamaanisha nini tena kwa kukusaidia soma maelezo chini. Ingekuwa mtihani ungeshalampa F kwa sababu ya kukurupuka bila kusoma maelezo yote.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ila mzungu nooooma yaan miafrika ipo kuangaika na kurekibishana lugha ambayo sio yao ebu tuige bala la Asia tuondokane na huu upumbavu eti ukikosea kuandika kiingireza eti hujasoma PUMBAVU Asia ana copy na kupaste vitu vya msingi sisi tuko kukosoana lugha NYAMBAFU. nina hasira na huu ujinga wahuusika toeni huu uzi hapa jf nenda huko kwa wajinga wenzio fb
 
Back
Top Bottom