Kumbe tatizo ni passport! Naona lile zoezi halikumalizika kwa wakati

Kumbe tatizo ni passport! Naona lile zoezi halikumalizika kwa wakati

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Nimeona hii taarifa rasmi. Kuna swala la passport mpya ambazo walipewa muda zile tayari naona hawakuhakiki kwa muda Tanzania ikiwa mojawapo. Lakini hata US ndani kuanzia mwezi wa kumi huwezi kisafiri n vitambulisho kama lesini za kuendeshea magari mpaka ukaweke vidole upya au kutumia passport.
 
Attachments

Beberu wanasema kwa vigezo vyao walivyoweza vya kubadilishana taarifa za kiusalama, TZ na Sudan ndio ziko vizuri ukilinganisha na nchi nyingine 4 zilizobakia katika hio orodha ya nchi 6. Ndio maana sisi tumezuia kucheza bahati nasibu ya Green card pekee wakati wengine wamepewa ban kali zaidi.

Kwa hio TZ na Sudan tunatakiwa kuongeza juhudi za kuwapatia haraka na kwa uhakika taarifa za passport zetu na habari nyingine muhimu za wale wanaosafiri kwenda kwao.

....hili halina uhusiano wa ban ya Makonda na mkewe...
Nimeona hii taarifa rasmi. Kuna swala la passport mpya ambazo walipewa muda zile tayari naona hawakuhakiki kwa muda Tanzania ikiwa mojawapo. Lakini hata US ndani kuanzia mwezi wa kumi huwezi kisafiri n vitambulisho kama lesini za kuendeshea magari mpaka ukaweke vidole upya au kutumia passport.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom