Kumbe timu ya KMC inayogharamiwa na manispaa ya Kinondoni si ya serikali!

Kumbe timu ya KMC inayogharamiwa na manispaa ya Kinondoni si ya serikali!

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
21,741
Reaction score
26,735
"Huku akisema CCM haikubaki nyuma kwenye michezo na ndio maana inamiliki timu kwenye ligi kuu, ambayo ni KMC ya Kinondoni, kiukweli sikuwahi kudhani timu ile ni mali ya CCM".

Haya yalisemwa na Bananga kwenye uzinduzi wa Ramadhan Cup iliyoanzishwa na CCM.

Kutokana na pande zote mbili za nchi kuongizwa na jamii moja udini hauepukiki umeingia michezoni.
 
"Huku akisema ccm haikubaki nyuma kwenye michezo na ndio maana inamiliki timu kwenye ligi kuu , ambayo ni KMC ya Kinondoni , kiukweli sikuwahi kudhani timu ile ni mali ya ccm" . Haya yalisemwa na Bananga kwenye uzinduzi wa Ramadhan Cup iliyoanzishwa na CCM.
Kutokana na pande zote mbili za nchi kuongizwa na jamii moja udini hauepukiki umeingia michezoni.
CCM inamiliki mpaka wasomi tena maprofesa WAPUMBAVU...

Kila kitu kipo wazi. Wanaendelea kumtumainia shetani ili watawale nchi
 
Sasa kama Mwigulu anamiliki timu unashangaa Nini CCM kumiliki timu?. Usichokijua hata hizi Simba na yanga nyuma ya udhamini wao Kuna vigogo wa CCM 😅. Wewe pata burudani Rudi kwako... Simba 1-5 yanga. Ubuntu Bontho 😜
 
Back
Top Bottom