Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Hii post iwekewe lamination Tafadhali 🤒🤒CCM inamiliki mpaka wajinga itashindwa hivo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inamiliki hadi maprofesa na kuwatoa majalalalani
CCM inamiliki mpaka wasomi tena maprofesa WAPUMBAVU..."Huku akisema ccm haikubaki nyuma kwenye michezo na ndio maana inamiliki timu kwenye ligi kuu , ambayo ni KMC ya Kinondoni , kiukweli sikuwahi kudhani timu ile ni mali ya ccm" . Haya yalisemwa na Bananga kwenye uzinduzi wa Ramadhan Cup iliyoanzishwa na CCM.
Kutokana na pande zote mbili za nchi kuongizwa na jamii moja udini hauepukiki umeingia michezoni.
Na wewe ni member! Kwahiyo Kinondoni Municipal Coumcil ni CCM!Ulikuwa hujui? Kwani maana ya KMC nayo hujui, Kinondoni Municipal Council!
Hii kauli nimeisikia tangu 2006 lakini mpaka wa leo hiki chama bado kipo tuWanatapatapa tu siku zao za mwisho hizi
Sioni tofauti yoyote kama mkurugenzi mtendaji wa halmashauri anachaguliwa na mwenyekiti wa CCMNa wewe ni member! Kwahiyo Kinondoni Municipal Coumcil ni CCM!
Bahati mbaya kimedumaa kifikra sasa kimejikuta kimebakia na manyangarakasha yasiyofaa hata kwenye vyuma chakavu.Hii kauli nimeisikia tangu 2006 lakini mpaka wa leo hiki chama bado kipo tu
Wanachama wao nguli wamekufa wengi lakini yenyewe bado ipo tu
Hili chama ni zaidi ya Shetani
Yanga tu, Simba ni ya Chadema.Yanga na Simba nao ni wamilikiwa wa CCM