Kumbe tozo ya simu ndio inayoendesha mamlaka ya elimu tanzania?

Kumbe tozo ya simu ndio inayoendesha mamlaka ya elimu tanzania?

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Posts
3,930
Reaction score
4,912
Wakuu muda huu kupitia TBC kuna uzinduzi wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa-BIG RESULTS NOW BRN KWA SEKTA YA ELIMU.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania amesema kupitia hela zitakazo patikana kutokana na tozo ya simu atahakikisha anasimamia ipasavyo mpango huo.
Baada ya kusikia hayo nimeduwa na harakati zinazoenezwa na akina Mnyika kuwa tozo ya simu itaondolewa wakati kuna mamlaka itafaidika kupitia fedha hizo.
Kweli nchi yetu inaendesha na majini ..samahani kwa kusema hivyo kwa we shall never revoke thes taxes hata vikao vikaa miliioni mia sasa si bora waache kumaliza hela kwa kukaa kikao ambacho hakitabatilisha chochote?

Ngoja nikanywe serengeti yangu muda huuuu
 
Back
Top Bottom