Kumbe tozo zililetwa ili kushindana mapato wanayopata mitandao ya simu na mabenki?

Sasa huyu muuza unga aliyebadilisha biashara ndo wa kulusumbua kichwa?
 
Serikali haiangalii uwekezaji iliofanya taasisi za kifedha au taasisi yoyote ile ndo maana unaona kodi zimekaa kikandamizi sana...kodi zipo juu sana...huwezi kukuza mtaji Tanzania kama haukwepi kodi...
Hii nafananisha na label ya music hapa Tanzania WCB wanawekeza wasanii na kufanya wawe maarufu alafu msanii akishakuwa mkubwa anataka aondoke bure ikiwa mkataba ajamalizana na label akilipishwa fidia ya kuvunja mkataba analalamika ananyonya anashindwa kukumbuka kwamba label umewekeza Sana kwake na pia ina lipa kodi ya Serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…