Tetesi: Kumbe TRA bado wanamfuatilia Askofu Kakobe

...kosa kubwa kuidharau Serikali, serikali huwa IPO tu madarakani ila viongozi houndoka
 
Alisema serikali yote ya Tanzania kaiweka mfukoni mwake, mwisho wa siku akajikuta kawekwa mfukoni yeye na familia yake.
Unasema nini? Unapajua Africana? Dar es Salaam upande wa kushoto ukielekea Bagamoyo? Kuna eneo kuuubwa kama pori sasa hivi kuna, Total Petrol Station na yard na Godowns mbali mbali mpaka Shule ya HOPAC ni mali yao na ni baadhi tu ya sehemu za mali zao. Jengo lililokuwa Sheraton sasa Serena wana hisa nyingi tu. Usikurupuke.
 
Ushawahi kukutana na mfanyakazi mjinga ambaye yeye katokea tu kumpenda bosi wake? Yaani huyu bwana hatabosi asimlipe mshahara wake wa mwezi yeye haambiwi wala hasikii kisa kampenda tu boss wake, wakitokea watu kwenda kumtetea mfanyakazi huyo kwa boss wake, utakuta mfanya kazi huyohuyo anagombana na hao wanaomtetea ili alipwe, yote ni sababu mfanya kazi Ana mahaba na boss wake, na hakuna lolote analopata, ukiangalia hata kula yake shida, usiombe kukutana na mfanya kazi huyo
 
Kuna taarifa kuwa jamaa wanatafuta taarifa za kifedha za Mch. Zakary Kakobe.

Nadhani serikali na TRA wangejikita kwenye issues za maana wakaacha visa na mikasa.


linda kinywa

hakuna kitu serious kama.mapato
 
Tubuni tu wacheni majungu ya kishamba
 
wamesahau na fedha zilizoko MPESA,TIGOPESA N.K

baada ya zoezi hili TRA ituambie kama ni kweli KAKOBE ana fedha kuliko serikali yetu.
Kama ni kweli watuambie kama amelipakodi stahiki na zilielekezwa sekta ipi.

Kama ni uongo ashitakiwe

Jinga lao wewe siyo mjinga, lakini kuna siku huwa unaamua tu kuandika mambo ambayo yatafanana na hilo jina lako.
 
Ni wajibu wa serikali na sio umbeya kama ufikiriavyo
Tumia akili mkuu, Kama huna cha kuandika piga kimya tu. Ni serikali hii hii ilisema haifanyii kazi matamko ya kwenye media, hata Yale yanayohatarisha uhai wa raia wake. Hili la Kakobe Lina tofauti gani? Don't you see a double standard here in afull swing?
 
Kuna taarifa kuwa jamaa wanatafuta taarifa za kifedha za Mch. Zakary Kakobe.

Nadhani serikali na TRA wangejikita kwenye issues za maana wakaacha visa na mikasa.

Hawa kweli wachovu. Fixed deposits hutozwa kodi sasa taarifa zake ni za nini?

Loans na overdrafts ni pesa ya mwingine siyo kipato sasa kodi ya nini?

Nionavyo hii TRA sasa ni makinikia ya kutisha uhuru wa kutoa maoni
 
Mambo ya imani ni magumu...
Anyway acha TRA wafanye kazi yao.

Ila huenda rohoni anajiona Tajiri na Mwenye pesa nyiingi zaidi ya Serikali...ndicho aminicho so nani awezae chunguza akiaminicho au akionacho rohoni!!!
 
Kiukweli hawa jamaa wa TRA wanahangaika na kupoteza muda wao bure.

Kakobe yupo smart kuliko tunavyomdhania. Hakuna jambo la maana watakalopata katika yale wanayoyatafuta.

Anyway kwa kuwa hao ni wajumbe waliotumwa, waache watekeleze wajibu wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…