Kuambiwa KUTUBU imekuwa kosa? Yeye atubu tu, hakuna namna.Si alikuwa anatafuta sifa mbele ya waumini wake ndio atambue serikali haitaniwi ..eti nilikuwa namaanisha utajiri wa imani wakati alisikika akisema nina pesa kuliko....
Wewe nani mpaka uwe na pesa kuliko serikali ,Dangote na pesa ,utajiri wote hajawahi kuidharau serikali yake
Ndio atakoma na heshima itakuwepo ..
bora ukutane na FFU na sio hawa TRA huku kwetu wenye maduka wakiwaona Maofisa wa TRA wote huambizana kufunga maduka