John Mwaisengela
Member
- May 6, 2024
- 77
- 103
Nimesikiliza clip mbili za Waziri wa fedha Mwigulu Lameck Nchemba akizungumzia kuhusu ukusanyaji wa kodi na ingine akiongelea madeni ya kodi bungeni leo. Kuna ujumbe naona kama waziri alikuwa anamjulisha mtu bungeni leo sijajua ni nani hasa.
PIA SOMA
- Serikali yasisitiza matumizi ya mashine za kutoa Risiti za Kielekroniki (EFD)
PIA SOMA
- Serikali yasisitiza matumizi ya mashine za kutoa Risiti za Kielekroniki (EFD)