Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Miradi michache tena kwa kuzuia mambo muhimu kama ajira nkLakini miradi ilionekana kwa macho
Tutajie hiyo michacheMiradi michache tena kwa kuzuia mambo muhimu kama ajira nk
Ukitaja wewe inatosha.Tutajie hiyo michache
Miradi ya mikopoLakini miradi ilionekana kwa macho
Lakini miradi ilionekana kwa macho
Huyu aliyekutukana ni kijana wa chama gani?huna akili wwwe kilaZa kabisa hujui ht unachoongea
Miradi ya mikopo
Huyo ni CCM, mind you, sijasema CCM hawatukani...ila Chadema wanatukana zaidiHuyu aliyekutukana ni kijana wa chama gani?
Yaani huo ni mfano tu, unakuta mnaona wizara chache lakini makatibu wakuu wanalimbikizana kwenye payroll sababu wakitumbuliwa bado wanalipwa kama makatibu wakuuWizara 15 zipi hizo zililipwa mishahara ya Katibu Wakuu 50?
Wewe nae umelopoka tu.Kati ya vitu ambavyo Magufuli alikuwa akiimbwa navyo ni kubana matumizi ya Serikali
Ila leo baada ya kumsikiliza Mwigulu akiweka mikakati mipya ya kubana matumizi, nimeona kumbe Serikali ina matumizi ya hovyo ambayo hata huyo Magufuli aliendelea nayo hadi sasa Samia ndio anakuja kuyapunguza
Mojawapo ya lililonishtua ni kuwa Mkurugenzi au Katibu Mkuu akitumbuliwa bado anaendelea kulipwa mshahara uleule aliokuwa nao, akasema kuwa inawezekana hata ukakuta kuna wizara 15 tu lakini ukakuta kuna watu 50 wanalipwa mshahara wa katibu mkuu, ama kuna halmashauri 100 lakini wanaolipwa kama wakurugenzi ni 500.
Aisee
Mwigulu kasema hilo lonafanywa kwa sababu lipo kisheria na Samia itabidi wabadili sheria kwanza....So kipindi cha Magufuli walikuwa bado wanalipwa sababu sheria hazikubadilishwaWewe nae umelopoka tu.
Unajua hiyo ilianza lini?
JPM alikuwa nawaondoa hadi wanakonda balaa. ameingia tu mama akawa anawaacha waendelee kula pesa. Hadi watumishi hewa karudisha nao sasa wanalipwa.
Kimsingi Mwigulu anamsaidia tu kumkumbusha mambo ya JPM.
Muulize mama safari za kilama ulaya zinaghalimu shilingi ngapi?. Mbona maisha yanaendelea kuwa magumu?
Wa kujenga Uwanja wa ndege wa kimataifa huko kijijini kwake Chato.Ukitaja wewe inatosha.
Huyo ni CCM, mind you, sijasema CCM hawatukani...ila Chadema wanatukana zaidi
Sasa wewe point yako ni ipi, huyo katukana sababu nimemkosoa Magufuli, unadhani atakuwa Chadema au CUF?Nimecheka kwa nguvu, kwahiyo huyu ana card namba ngapi huko CCM? Eti Cdm wanatukana zaidi!