Kumbe tulimsifu Hayati Magufuli kwa kubana matumizi huku Serikali ikiwa na matumizi ya ovyo hivi?

yaani unakusanya 100% afu unatumia 80%. Bila kubana matumizi ya Serikali ni ndoto kuyafikia maendeleo halisia. Yaani unafanya bidii ukusanye zaidi ili utumie mwenyewe !!

Achilia mbali Taifa hata kwenye ngazi ya familia - hiyo familia haitakaa isonge mbele hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…