Haishangazi. Hata Yuda Iscariote alimsaliti Yesu kwa vipande vya fedha ila hakufanikiwa kutimiza lengo la waliomtumaTumbo a.k.a stomach ni konyo, yani leo wale wale waliokua wanatuaminisha kuwa Chadema hawagawani vyeo na madaraka bali wanagawana majukumu leo hii wamegeuka? Safari bado ni ndefu sana
Jamaa wanajidanganya sana, yaani dola na chama cha kijani wanaweza kukubali kupoteza majimbo/ubunge wakati nafasi za chini kabisa za wenyeviti wa mitaa, vijiji na vitongoji wamekwapau kwa kishindo.Agenda ya CHADEMA ya No reform No Election imepelekea baadhi ya wanachama wa CHADEMA kuelekea kuasi kwa sababu ya tumbo. Wengi wao wako pale kwa kutafuta masilahi na siyo vinginevyo. Agenda hii ilianzishwa na Mbowe mwenyewe leo hii mnamlaumu Lissu. Kumbe wengi hawapo pale kwa ajili ya Chama ila kwa ajili ya matumbo yao. Wanatia aibu sana.
Mungu ameamua kuwaonyesha wazi,Ili kuondoa najisi kwenye kazi yake anayoifanya kupitia Tundu A.Lissu🇹🇿✝️Tumbo a.k.a stomach ni konyo, yani leo wale wale waliokua wanatuaminisha kuwa Chadema hawagawani vyeo na madaraka bali wanagawana majukumu leo hii wamegeuka? Safari bado ni ndefu sana
Shida ya huyo jamaa ni hapo amekulia Chadema akila mshahara na akutegemea kama atatoka kule jikoni sasa amevurugwaJohn Mrema hajawahi kufanya kazi nyingine yoyote popote zaidi ya chadema HQ . Huyu alikuwa mwandani w mbowe akibadilishiwa vyeo tu
Ni aibu mno. Nimeumia sana,kuona mijitu ipo tayari kupoteza Uhuru unaotafutwa wa kudumu kwa ajili ya vizazi vijavyo. Njaa,njaa zimewafanya wanaanzisha kampeni za kipumbavu kupigania matumbo yao tu.Agenda ya CHADEMA ya No reform No Election imepelekea baadhi ya wanachama wa CHADEMA kuelekea kuasi kwa sababu ya tumbo. Wengi wao wako pale kwa kutafuta masilahi na siyo vinginevyo. Agenda hii ilianzishwa na Mbowe mwenyewe leo hii mnamlaumu Lissu. Kumbe wengi hawapo pale kwa ajili ya Chama ila kwa ajili ya matumbo yao. Wanatia aibu sana.
Mtu wa namna hii lazima tu awe na maumivu makali. Maana atalazimika sasa kuishi kwa jasho kama wengine, jambo ambalo inawezekana hakuwahi kulifikiria hata siku moja.John Mrema hajawahi kufanya kazi nyingine yoyote popote zaidi ya chadema HQ . Huyu alikuwa mwandani w mbowe akibadilishiwa vyeo tu