Kumbe tumefika Namba Q na hamsemi? DJ niletee 'wasiojulikana' mbele... Halafu kuna malegend wasioweka plate kabisa!

Kumbe tumefika Namba Q na hamsemi? DJ niletee 'wasiojulikana' mbele... Halafu kuna malegend wasioweka plate kabisa!

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Wakuu,

Tumefika lini kwenye Namba Q wakuu, kuna herufi nilikuwa naisubiria hapa kati, kwahiyo ndio basi tena?

Huyu mtu anaenda zake kufanya uhalifu, anakukonga anasepa, unatekwa umesukumiwa humo ndani ndo imeisha hiyoo! Kwanini waruhusiwe kutembea na namba hizi? Lengo ni nini?

Na ukiangalia huioni! Na si hii tu, sasa hivi kuna mtindo pia wa kutoa plates, unakutana na mtu asubuhi au jioni hana plate number na anatamba zake bila shida.

Tupeane konekshen ya kupata michongo kama hii basi na sisi tufaidi kama wao, au nasema uongo guys? Dr. Mwigulu Nchemba

Screenshot_20260506_083643_Gallery.jpg

IMG_20260506_084905_655.jpg
 
Mpaka nimiliki gari, plate zitakuwa zimeanzia Kwenye @#$& mana ZZZ zitakuwa zishaisha
 
Labda amepewa hiyo namba in-advance.....Labda tuulize TRA - kama mtu unaweza kununua namba yoyote iliyo mbele - hata kama haijafikiwa.
 
Kawaida sana mbona.... hujawahi kukutana na viieite, latest version alafu namba A .?... mpaka unashangaa !
 
Magari ya Viongozi hayo

Unaweza kuta ni gari la Waziri/Naibu Waziri linamfata kwa chini yeye muda huo amepanda mwewe

Wasiojulikana hawana magari yenye hadhi hiyo, wao ni kutumia Noah,Wish,Raum,Alphad ama Toyota Landcruiser hardtop 😜
 
Wakuu,

Tumefika lini kwenye Namba Q wakuu, kuna herufi nilikuwa naisubiria hapa kati, kwahiyo ndio basi tena?

Huyu mtu anaenda zake kufanya uhalifu, anakukonga anasepa, unatekwa umesukumiwa humo ndani ndo imeisha hiyoo! Kwanini waruhusiwe kutembea na namba hizi? Lengo ni nini?

Na ukiangalia huioni! Na si hii tu, sasa hivi kuna mtindo pia wa kutoa plates, unakutana na mtu asubuhi au jioni hana plate number na anatamba zake bila shida.

Tupeane konekshen ya kupata michongo kama hii basi na sisi tufaidi kama wao, au nasema uongo guys? Dr. Mwigulu Nchemba

Screenshot_20260506_083643_Gallery.jpg

Yani bongo sasa hivi malori ni mengi kuliko SUVs na Sedan
 
Niliona hii kwenye Twitter

Africa won't be free until corruption becomes a crime
with consequences, not a career with benefits
Chinese they saw too far ahead on this!.

That's why they made death sentence on corruption crime because it is the source of all barbarity.
 
Back
Top Bottom