Sheria inafanya kazi kwa wananchi tu ila wakubwa huko juu haifanyi kabisaKaribu Tanzania...sheria ya huku wanasema ni msumeno ila ni msumeno ulio butu upande wa wenye hela na watawala.
Zikofika ZZZ utakuwa mavumbini maana sio leo.Mpaka nimiliki gari, plate zitakuwa zimeanzia Kwenye @#$& mana ZZZ zitakuwa zishaisha
Kwamba namba zitakuwa zimeisha inabidi zitumike alama sasaπ€£Mpaka nimiliki gari, plate zitakuwa zimeanzia Kwenye @#$& mana ZZZ zitakuwa zishaisha
Wakimaliza alama, zinafuata emoji πKwamba namba zitakuwa zimeisha inabidi zitumike alama sasaπ€£
Hapo sasa ndio penyewe, mie nataka emoji ya kucheka hadi machozi.Wakimaliza alama, zinafuata emoji π
Wakifika emoji ya kulia unitag πHapo sasa ndio penyewe, mie nataka emoji ya kucheka hadi machozi.
Aaah wewe sasa utasababisha tuwe tunakusimamisha na kuuliza, "kulikoni?"Wakifika emoji ya kulia unitag π
Wakuu,
Tumefika lini kwenye Namba Q wakuu, kuna herufi nilikuwa naisubiria hapa kati, kwahiyo ndio basi tena?
Huyu mtu anaenda zake kufanya uhalifu, anakukonga anasepa, unatekwa umesukumiwa humo ndani ndo imeisha hiyoo! Kwanini waruhusiwe kutembea na namba hizi? Lengo ni nini?
Na ukiangalia huioni! Na si hii tu, sasa hivi kuna mtindo pia wa kutoa plates, unakutana na mtu asubuhi au jioni hana plate number na anatamba zake bila shida.
Tupeane konekshen ya kupata michongo kama hii basi na sisi tufaidi kama wao, au nasema uongo guys? Dr. Mwigulu Nchemba
Chinese they saw too far ahead on this!.Niliona hii kwenye Twitter
Africa won't be free until corruption becomes a crime
with consequences, not a career with benefits