Kumbe tuna wanasoka wengi Ulaya

Kumbe tuna wanasoka wengi Ulaya

Nilikuwa nafuatilia league kuu ya Austria Bundesliga baada ya kufungua taarifa za hii timu kwenye picha nikakutana na mchezaji anaitwa Lema nikashutuka mbona jina la watanzania hili kufungua zaidi nakuta ni mtanzania kweli. Jamaa timu yake sihaba kwenye league ya Austria na dogo bado ana miaka 20 tu mpaka sasa amieshacheza match 5 za league msimu huu.
Etiene Ndayiragije mfuatilie huyu.
Anachezea timu ya Sturm GrazView attachment 1219147
Tatizo la watz ni kuvamia vamia uraia wa watu bila kujua sheria inasema nini juu ya suala la uraia, fuatilieni sheria zinasemaje,yaani siku hizi kila mchezaji utasikia MTANZANIA YULE!
Loooh !!!!
 
Tatizo mfumo wetu
Nilikuwa nafuatilia league kuu ya Austria Bundesliga baada ya kufungua taarifa za hii timu kwenye picha nikakutana na mchezaji anaitwa Lema nikashutuka mbona jina la watanzania hili kufungua zaidi nakuta ni mtanzania kweli. Jamaa timu yake sihaba kwenye league ya Austria na dogo bado ana miaka 20 tu mpaka sasa amieshacheza match 5 za league msimu huu.
Etiene Ndayiragije mfuatilie huyu.
Anachezea timu ya Sturm GrazView attachment 1219147
 
Serikali ya CCM haitaki kusikia kuhusu Uraia pacha,wanaona ndio utakuwa mwisho wao wa kutawalaTutaishia tu kusema huyu ni mbongo.
 
Inawezekana kuna wachezaji wa kitanzania wapo nje ya nchi na wana hamu ya kuichezea taifa stars, lakini je wanapewa ushirikiano na wahusika wa taifa star?
 
"Safu hii ya Nje ya Bongo ya Mwanaspoti iliwahi kufanya mahojiano ya kina ya uso kwa uso na Haji aliporejea mapumzikoni nyumbani kwao Zanzibar, ambapo kinda huyo aliweka wazi kuwa aliwahi kuwasiliana na kiongozi mmoja wa juu ili aje kuchezea timu ya vijana ya Serengeti Boys iliyokuwa ikishiriki Afcon ya U-17 iliyofanyika jijini Dar es Salaam, lakini ofisa huyo alimwambia kwanza ampe pesa ndiyo amuunganishie kuchezea timu ya taifa."
 
Screenshot_20191002-061607.png
Screenshot_20191002-061550.png
Mwingine nani?
Screenshot_20191002-061522.png
Screenshot_20191002-061505.png
Screenshot_20191002-061335.png
Screenshot_20191002-061222.png
Screenshot_20191002-061305.png
Wengi mnoooo....... Kuna page instagram jama kawapost kama hamsini hivi.... Daah ....
 
Wacheza soka wa bongo sio wazamiaji wangekuwa wazamiaji tungekuwa nao wengi Ulaya. Ulaya timu ni nyingi na wachezaji wa gharama kiduchu wanatafutwa sana kwa ajiri ya biashara ya badae kwenye vilabu vikubwa.
 
Warudi nyumbani wajisajiri kwa alama za vidole ? ..haha ha kuhamia nchi hii ni sawa na kujiingiza ktk tanuru la moto
 
Back
Top Bottom