Maana yake ni kuwa samia hataruhusiwa kugombea mwaka 2025 maana ndio mwaka wa mwisho kwa awamu ya tanoukweli ni kwamba samia anaongoza awamu ya tano siyo ya sita. Kungeitishwa uchaguzi mkuu baada ya JPM kufariki ndipo tungesema tuko awamu ya sita. Hata waziri mkuu wake ni yule yule wa awamu ya tano na wala hakutangaza kuvunja baraza lote la mawaziri akaunda jipya. Alikubali kurithi la awamu ya tano akafanya marekebisho madogo tu kuwaondoa asiowapenda hasa wasukuma.
Kusema hii ni awamu ya sita ni janja ya kukwepa failures za kipindi cha JPM akiwa rais na Samia akiwa Makamu.
With reference to what?
Haieleweki!Utaratibu usio rasmi, jibu kwanza, Samia ni Rais wa ngapi?
Na umewahi kuona jambo limekwama kisa mkanganyiko wa neno " awamu"?
kisiasa kuna awamu na vipindi, usichanganye....!
awamu ni neno letu la kisiasa likiwa na maana ya raisi aliyechaguliwa kwa kura!, vipindi vya utawala wake ni idadi ya mihula aliyogombea...!
Atagombea tena saa 2 asubuhi. Katiba yetu pamoja na “ubovu” wake atleast ililiona hilo na kuliweka sawaMaana yake ni kuwa samia hataruhusiwa kugombea mwaka 2025 maana ndio mwaka wa mwisho kwa awamu ya tano
Because it is Irrelevant!Haieleweki!
Mimi nafikiri hivi,Rais Samia ni rais kamili kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania hadi 2025 na wala sio wa muda, Magufuli awamu yake imeishia pale alipokufa na haendelezi muda wa yeyote na kwa mujibu wa katiba hiyo anaruhusiwa kugombea kipindi kimoja zaidi.
Ndiyo. Anamalizia awamu ya tano kipindi cha pili cha Magufuli. Sera ni mipango ni ile ile. Kutoweza kugombea zaidi ya muhula mmoja tena hilo ni takwa la kikatiba. Hata angekuwa amechukuwa nchi 2024 mwezi wa 6, basi angehesabika amemaliza kipindi chake cha kwanza.Unafahamu huu ni muhula kamili wa Rais aliyepo madarakani na hawezi kugombea zaidi ya muhula mmoja tena?
Awamu siyo kipindi cha miaka kumi. Awamu ni uchaguzi mpya + kiongozi mpya.Kwa nini sio awamu mbili wakati aliitawala Tanzania kwa miaka 21 kupitia sanduku la kura?
Imeandikwa wapi?Awamu siyo kipindi cha miaka kumi. Awamu ni uchaguzi mpya + kiongozi mpya.
... "Awamu" ni nini? Inakuwa determined vipi? Vigezo? Kama hakuna uataratibu unaoleweka wala vigezo basi kila mmoja (awamu ya 5 vs 6) yuko sahihi ndio hoja ya mleta mada - MKANGANYIKO!Hili ni jambo dogo sana lakini limedhihirisha Tanzania ni nchi isiyo na watu makini hata kidogo. Hata mimi niliposikia wanasema ni awamu ya sita nilibaki mdomo wazi. Itawaje awamu ya sita wakati yeye amekuwa rais wa muda mpaka uchaguzi utakapofanyika 2025?
Kifo cha Magufuli kimethibitisha pasipo shaka kuwa sisi kama nchi hatuna utaratibu wowote rasimi wa kikatiba, kisheria au usio wa kisheria unaotuongoza katika kuhesabu au kuzitambua awamu za serikali.
Kama utaratibu rasimi huo, basi ni wazi hauleweki na unapaswa kutazamwa upya ili kuondoa huu mkanganyiko unaojitokeza sasa tena ukiwahusisha viongozi wakubwa tu katika nchi yetu.
Hivyo, tunapaswa kuwa na utaratibu unaotamka rasimi kama awamu ya serikali inahesabiwa pale anapoingia Raisi mpya hata ikitokea Raisi aliepo madarakani anafariki na kurithiwa na makama wake au vinginevyo. .
Tujiulize, ikitokea tunapata Raisi mwingine kutokana na sababu zilizoainishwa na katiba yetu, Raisi huyo atakuwa ni wa serikali ya awamu ya tano, ya sita at saba?
Kwakuwa hatuna utaratibu unaoeleweka, hata awamu ya Nyerere inaweza isiwe ni awamu ya kwanza kwani zilikuwepo serikali za kikoloni kabla ya Nyerere kuwa Raisi.
Tujifunze kutokana na makosa kwa kuupatia suluhisho huu mkanganyiko uliopo sasa.
Kama ambavyo mikutano ya Bunge na vikao vyake viko well defined, basi na hizi awamu pamoja na chaguzi zake ziwe well defined.
Asante sana.... "Awamu" ni nini? Inakuwa determined vipi? Vigezo? Kama hakuna uataratibu unaoleweka wala vigezo basi kila mmoja (awamu ya 5 vs 6) yuko sahihi ndio hoja ya mleta mada - MKANGANYIKO!
Awamu siyo kipindi cha miaka kumi. Awamu ni uchaguzi mpya + kiongozi mpya.
... neno dogo lakini zito sana kwa muktadha huu! Ndio Katiba inasema hivyo? ANAENDELEZA?Hii ni awamu ya Tano, tatizo walio kwenye mamlaka ndio wanaleta mkanganyiko..
Naamini hata katiba hii inaweza kutoa hilo suluhisho, kama ilisema Rais aliyeko madarakani akifa makamu wake anaendeleza kwa kuapishwa mbona hapo Katiba imeshamaliza....
Shida ni tafsiri tu hapo, na wahusika hawakuwa na muda na hilo....kifupi wanaosema hii ni awamu ta sita wanavunja katiba..
Salary slip unapaswa sasa kufungua kesi juu ya hili kuomba tafsiri...
... with due respect; fafanua maana ya neno AWAMU; neno muhimu sana kwenye mnakasha huu! Awamu ndio nini? Vigezo vya ku-determine AWAMU ndio vipi?Utaratibu upo wazi kabisa kwenye katiba na awamu nyingi ni mbili tu za serikali ya raisi mmoja. Tatizo lipo kwetu sisi na viongozi wetu.
Ni kweli kuwa tunakosea sana tunavyosema awamu ya kwanza, ya pili, ya tatu, ya nne, ya tano na ya sita haya ni makosa, na yanafanywa hadi na watunga sera na sheria pia.
Usahihi ni kusema kipindi cha raisi wa kwanza wa JMT awamu ya kwanza au ya pili, JMT ni Jamhuri ya Muungani Tanzania
Au kusema kipindi cha raisi wa nne wa JMT awamu ya pili waziri mkuu alikuwa M. K. Pinda
Na ukifika kwa JPM inakuwa ni raisi wa tano awamu ya kwanza na ikumbukwe alitawala kwa awamu mbili ila awamu ya pili alitawala muda mfupi wa miezi kadhaa, hivyo yale aliyofanya 2021 ni ya awamu yake ya pili.
Kwa Samia ni raisi wa sita amvaye kwa sasa yupo awamu ya kwanza ya utawala wake/serikali yake.
Sasa haya mambo ya awamu ya tatu, nne tano au sita ni kinyume na katiba na Katiba yetu inatambua awamu mbili tu kama awamu halali kwa raisi na ikumbukwe sio lazima raisi kutawala awamu mbili. Ila kwa bahati Tz hakuna raisi aliyetawala kwa awamu moja hadi sasa.
Sheria ipo wazi kabisa Mkuu.
Walau umekuja na hoja.Lakini katiba inaongelea kipindi/vipindi au inaongelea awamu?Utaratibu upo wazi kabisa kwenye katiba na awamu nyingi ni mbili tu za serikali ya raisi mmoja. Tatizo lipo kwetu sisi na viongozi wetu.
Ni kweli kuwa tunakosea sana tunavyosema awamu ya kwanza, ya pili, ya tatu, ya nne, ya tano na ya sita haya ni makosa, na yanafanywa hadi na watunga sera na sheria pia.
Usahihi ni kusema kipindi cha raisi wa kwanza wa JMT awamu ya kwanza au ya pili, JMT ni Jamhuri ya Muungano Tanzania
Au kusema kipindi cha raisi wa nne wa JMT awamu ya pili waziri mkuu alikuwa M. K. Pinda
Na ukifika kwa JPM inakuwa ni raisi wa tano awamu ya kwanza na ikumbukwe alitawala kwa awamu mbili ila awamu ya pili alitawala muda mfupi wa miezi kadhaa, hivyo yale aliyofanya 2021 ni ya awamu yake ya pili.
Kwa Samia ni raisi wa sita amvaye kwa sasa yupo awamu ya kwanza ya utawala wake/serikali yake.
Sasa haya mambo ya awamu ya tatu, nne tano au sita ni kinyume na katiba na Katiba yetu inatambua awamu mbili tu kama awamu halali kwa raisi na ikumbukwe sio lazima raisi kutawala awamu mbili. Ila kwa bahati Tz hakuna raisi aliyetawala kwa awamu moja hadi sasa.
Sheria ipo wazi kabisa Mkuu.
... tena kwa ilani tofauti; Cabinets tofauti, Bunge tofauti, etc. Shida iko kwenye neno moja tu la msingi - AWAMU! What is awamu? Vigezo vyake ndio vipi? Hapo ndio tunafeli!Kwa nini sio awamu mbili wakati aliitawala Tanzania kwa miaka 21 kupitia sanduku la kura?