Kumbe tunaokaa Marekani humu JF tuko wachache hivi?

Huyu jamaa kichwa yake haiko sawa misifa mingi,yawezekana hata pipa hajawahi kukwea[emoji12]
 
Swaga za Miriam Odemba, kujisifia kwingi sana huku unachofanya ni zero.
Haupo Marekani we jamaa, upo bongo tu uswahilini unapigwa na jua, hujui tofauti ya Marekani na Ulaya hadi leo hii? Hiyo chance ya kwenda Marekani ulifanyiwa human trafficking ili ukauzwe au?
 
Endelea kujisifia hivyo hivyo,siku c nyingi naona utakuja na thread ya kujisifia kuwa kumbe wanaume mlio olewa humu jf mpo wachache,maana marekani huko ndio wameruhusu ndoa za jinsia moja,sidhani kwa Mtanzania anaye jielewa kama anaweza kujisifia kuwa marekani,na ndio maana hata Mh.Raisi kaona afute safari za je maana hakuna ishu huko,kila kitu ni tz hivyo vinavyo kuzuzua ujue hao jamaa waliviiba TANZANIA.
 
wote twende marekani tz pia ni nchi hivi unataka tumwache nani ?
 

Huna lolote upo zako gongo la mboto unaleta za kuleta...... au ndo mambo yenu ya kuuliza eti kuna parking za VIP
 
Nakumbuka enzi zile, kulikuwa na Aina ya kitambaa ikiitwa Marekani, ukishonea kaptula kadri unavyoifua ndio inazidi kupanda juu,jamaa ana hamu ya kuamkia marekani, naona haya masnow yana mchanganya mno akiyaona CNN.
 
Watu wengine bana, sasa we unajisifia uko Marekani halafu unasahau kunisifia mimi nilokupeleka.

Nishakujua we huna maana tena hata usije niomba nauli ya kurudi bongo.

Siku tunaagana Airpot ulikiri hutoisahau familia yako, leo umeitelekeza mpaka mkeo mi nimeona ni bora tu nimrithi maana anashinda na kulala njaa we unakula maraha tu huko.

We dawa yako ndogo, sasa ngoja mkeo nimpige kitu ukirudi unakuta katoto halafu kile chumba ulichopanga Buguruni kwa Mnyamani namuamisha akakae Vingunguti Kiembembuzi.

Plz naomba ufute namba yangu na sitaki urafiki nawe labda unitumie laptop ya kuingia Jf ndo ntakusamehe.

Hunifai wewe tena mi sio wa ukoo wako bora niende Kaliuwa nikakate mkaa kuliko kuwa na ndugu kama wewe.
 
Nilishangaa ulivyoleta Uzi eti Karigo anajisifia sana nikakuuliza nini tofauti yenu? Nadhani ulimuonea wivu kwamba ameingilia fani yenu wewe na Dully
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…