Kumbe tunaokaa Marekani humu JF tuko wachache hivi?

Mshua yupo USA
Bitoz nipo Tandale
Jionee tofauti !!!
 
marekani ndo kijiji gani
 
marekani ya manzese.


Juzi tu hapa alikua manzese na rais wake madee wakitutishia nyau kuchoma gari moto iwapo tu Arsenal itafungwa na Chelsea!
Hadi leo hajatupa mrejesho kama lile gari lilichomwa au la, tayari yupo marekani! Tueleze vizuri mzee ile taarifa kumbe madee alikutumia tu kwa email?!!?
 
Mm niko kusini mwa africa ,lkn mbona naona Tanzania kuna raha saha kuliko marekani watanzania hawaishi kwa wasiwasi wa may be ISIS au ALKAIDA watatshambulia lkn huko marekani kila mtu ana wasiwasi huo kama ni kula na kulala cc tunakula vzr coz ni fresh food kulala hata kwenye mabanda ila usingizi mnono tunaupata na mandoto kibao na starehe nyengne tunafanya pia, Acha ushamba wa maisha ww kwani marekani ndo nn cha muhimu mashiko co kuona majumba marefu, mbona tumetembea nchi nyngi na hatujisifu ushamba tu
 
Mimi Papa nga naza awa ndeko nagai
 
Kama uko marekani na hizi kampeni zao za ushoga....!!

Usirudi tz tena! Baki huko huko ushogani....
 
Watuwengine bwana eti niko Majuu
Watu wanakimbilia Tanzania toka huko majuu kuja kupata ajira na kuishi vizuri hapa Bongo.
Mzee Ngosha kaamua awatimue
Nahuko Trump akiwa Raisi
Tutakuja kukupokea Airport
 
unakaa au unaishi marekani .kale miogo huko.ktk sscreen yangu inaonyesh jum uko bongo.

swissme
 
Tutakupa u captain wa twiga star
 
Mtukane Obama watakurudisha tu
 
hihi yupo tandahimba,...
tanzania bhana kuna baadhi ya sehemu
majina yake bhanaa,....ni tatizoo
 
Kama Donald Trump atabahatisha kuwa Rais, wewe utakuwa mmoja wa wahamiaji haramu kurudishwa kwani huna makaratasi; huo mpango wenu wa kuoa wazungu ili muwe na makaratasi ya kubeba boksi huko umeishastukiwa!!
alaf kubeba box kuna mwisho
 
Alafu unajua kubeba BOX kuna mwishoo,..
we lete jeuri2 apa,...
wataanza kutumia robots kubeba hizo,...
nawewe bila box la bibi uwez kuishii,..
utaleta li uzii apa ukiliia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…