Teh teh teh....Ni Mnyarwanda Wa Kitutsi ( Rwanda ) Ila Nimechanganyika Kidogo Na Damu Ya Kizanaki ( Mara ) Na Kimakua ( Mtwara ). Vipi Dada Umenipenda Labda Pengine Unataka " Nikusuuze " KUNAKOTUKUKA?
Kweli nimeshindwa kuelewa. Popoma....sounds like popobawaSasa huyo nae asipo elewa maana ya popoma ni kama kichwa cha mleta mada GENTAMYCINE ,hakuna tena namna ya kumsaidia
Heeee mama kwanini mawazo yaende kwa popobawa ?? Ungewaza hata ni tunda walau afadhali ,Kweli nimeshindwa kuelewa. Popoma....sounds like popobawa
Sasa UncleBen si uniambie? Mawazo yangu ndo yamenipeleka hukoHeeee mama kwanini mawazo yaende kwa popobawa ?? Ungewaza hata ni tunda walau afadhali ,
Si likitu ambalo halina akili ,au lina akili lakini halijui kuitumia ,au linajua kuitumia lakini ameamua kujifanya mjinga .....kama GENTAMYCINESasa UncleBen si uniambie? Mawazo yangu ndo yamenipeleka huko
Ha ha haaa asanteSi likitu ambalo halina akili ,au lina akili lakini halijui kuitumia ,au linajua kuitumia lakini ameamua kujifanya mjinga .....kama GENTAMYCINE
Ha ha haaa asante
Nashukuru kwa ufafanuzi mzuri. Fanya mpango liingie kwenye kamusi ya kiswahiliVipi Umeshapata Jibu Lake Tayari? Kwa USAHIHI Kamili POPOMA Ni Neno Langu Nililolibuni Baada Ya Kulitohoa Ktk Lugha Ya KINDENGEREKO Na KIZARAMO Ambapo Linamaanisha Ni MTU MPUMBAVU WA KUTUKUKA AMBAYE HATA HASTAHILI KUISHI TENA DUNIANI KWANI HATOKUWA NA FAIDA KWA WENGINE KWA NAMNA YOYOTE ILE NA NI MZIGO PIA KWA JAMII HUSIKA. Ni Matumaini Yangu Kuwa Baada Ya UFAFANUZI Huu MURUA Wa Leo SITOSUMBULIWA TENA KUULIZWA NA MEMBER YOYOTE HUMU JF NINI MAANA YA NENO LANGU PENDWA LA " POPOMA " Naomba UWAFAHAMISHE NA WENGINE Pia Japo Najua Akina Nifah, Mussolin5 Na UncleBen Wanalijua Ila Nashangaa Wamekwepa Kukuambia au Sijui Yawezekana Labda Na Wao Hilo NENO Linawahusu!
Hahahahahaa sikutaka kumuambia maana wewe kila siku unaongezea maneno mapya tofauti kwenye neno lako hilohilo la POPOMA.Vipi Umeshapata Jibu Lake Tayari? Kwa USAHIHI Kamili POPOMA Ni Neno Langu Nililolibuni Baada Ya Kulitohoa Ktk Lugha Ya KINDENGEREKO Na KIZARAMO Ambapo Linamaanisha Ni MTU MPUMBAVU WA KUTUKUKA AMBAYE HATA HASTAHILI KUISHI TENA DUNIANI KWANI HATOKUWA NA FAIDA KWA WENGINE KWA NAMNA YOYOTE ILE NA NI MZIGO PIA KWA JAMII HUSIKA. Ni Matumaini Yangu Kuwa Baada Ya UFAFANUZI Huu MURUA Wa Leo SITOSUMBULIWA TENA KUULIZWA NA MEMBER YOYOTE HUMU JF NINI MAANA YA NENO LANGU PENDWA LA " POPOMA " Naomba UWAFAHAMISHE NA WENGINE Pia Japo Najua Akina Nifah, Mussolin5 Na UncleBen Wanalijua Ila Nashangaa Wamekwepa Kukuambia au Sijui Yawezekana Labda Na Wao Hilo NENO Linawahusu!