Kumbe tunashindwa Kuitambulisha upesi 'Turufu Iliyochoka Kwa Jirani na Inayolewa Hovyo Bia' kwakuwa bado tuna Madeni Makubwa na hatujamalizana nayo?

Na ninasikia Wiki hii au ijayo kuna Mchezaji / Wachezaji Wawili nao wanaenda Kushtaki FIFA kwa Madeni yaliyokubuhu.
Sawa wa kuziuzulu fc tumekusikia. Ni nyie tu kuchagua wabaki wale wale ili ziishie 7-2 au waongezeke wengine ili dozi iongezeke.
 
GSM akishtuka atakuwa amesalia madeni
 
Na ninasikia Wiki hii au ijayo kuna Mchezaji / Wachezaji Wawili nao wanaenda Kushtaki FIFA kwa Madeni yaliyokubuhu.
Vipi, Mangungu ameshajiuzulu? Au zile siku ulizompa bado hazijaisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…