Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Urari wa biashara kati ya Tanzania na Kenya umeimarika sana. Leo niliona bungeni Rashid Shangazi akiliongelea hili nikaona nijiridhishe.
Kulingana na data za benki kuu ya Kenya kuishia mwaka jana Tanzania iliuza Kenya bidhaa zenye thamani ya trilioni 1.15 huku yenyewe ikinunua zenye thamani ya bilioni 928.9
Tanzania inauza nchini Kenya nafaka, mbao na mbogamboga ilhali yenyewe ikipokea sabuni, madawa na chuma.
Mwaka 2020 Kenya haikuuza huduma(service) yoyote nchini Tanzania.
Swali langu, pamoja na viwanda vya sabuni tulivyonavyo mbona Kenya wanauza sabuni yenye thamani kubwa hivi Tanzania kulinganisha na kingine chochote wanachotuletea?
Mohammed enterprises na wenzake wameshindwa kabisa kuteka soko?