Kumbe Tupac alijua kuhusu tusi la "mamayo"

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Kwenye wimbo wake " Troublesome 96" Tupac anasema " SCREAMIN CUFK ALL Y'ALL NIGGAS IN SWAHILI"

# Nimepata ushahidi mzito na wenye mashiko kuhusu Tupac kuwa hai. Nitaupost kesho.

# The other day nilipost uzi hapa jf wenye title "TUPAC ALIKUFA BAADA YA KUMEZWA NA KIVULI CHA MAUTI CHA BIGGIE SMALLS" but ushahidi niliyousoma mahali kuhusu kuwepo hai kwa Tupac umenifanya ni-debunk theory yangu kuhusu the so called "kifo" cha Tupac.


# A wise man always change his view when presented with better argument. So I have changed my view.
 
Mbona uzi ni mauza uza tupu? Title haifanani na content.
Halafu watu weusi ndio maana tunaonekana maboya tu.
Huyo Tupac na Biggie sijui hata mnawahusudu nini.

Nyimbo zao nyingi ni kuchochea mauaji, umalaya, kuuza na kutumia madawa ya kulevya.

Walichangia kwa kiasi kikubwa kuharibu vijana weusi na watoto leo hii tunawaabudu. Sisi kweli ni watumwa.
 
Ushahidi ni kwamba tangu achezee njugu mwaka 1996 alipotoka kwenye pambano la tyson hajaonekana tena hadharani mpaka leo.
Tupac Hakupigwa risasi . He still.alive
Why aonekane wAkati.lengo lake haswa lilikuwa NI to fool his enemies into blvng that he is dead so that he can use that as a pretext to go.somewjere and start a.new.and.peaceful life?
 

Ujinga wako katika hili ni wa hela yote. Hakuna mwanamuziki (hata Bob Marley) aliyeimba masuala ya msingi kumuhusu mtu mweusi kama Tupac. Changes, Thugz Mansion, Brenda's got a baby, keep ya head up, ghetto gospel, On my block, etc etc, zote hizo zinalinga ulichokisema.
 
Tupac Hakupigwa risasi . He still.alive
Why aonekane wAkati.lengo lake haswa lilikuwa NI to fool his enemies into blvng that he is dead so that he can use that as a pretext to go.somewjere and start a.new.and.peaceful life?

Tupac hakupigwa risasi? Umevuta nini, mzee?
 
Mara hujui, mara nyimbo zao zinachochea madawa ya kulevya.

Kawasikilize na uelewe.
 
Mwandiko wa Kisandu kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…