Vegetarian
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 654
- 509
Kweli mkuu, kuna wosia mkali sana kwenye Letter to my unborn child.Ujinga wako katika hili ni wa hela yote. Hakuna mwanamuziki (hata Bob Marley) aliyeimba masuala ya msingi kumuhusu mtu mweusi kama Tupac. Changes, Thugz Mansion, Brenda's got a baby, keep ya head up, ghetto gospel, On my block, etc etc, zote hizo zinalinga ulichokisema.