Ni dhahiri Sasa Kuna Chadema mbili ile ya Matajiri inayafadhiliwa kwa c/I ya Wenje na hii Asilia ya Wakunja Ngumi ambayo Mzee Nyanga Bob Makani aliwaachia Bure Nyumba yake iwe ndio Makao makuu
God bless Lema anesema yeye ni Chadema Wakunja Ngumi
Mlale Unino π