Pre GE2025 Kumbe uchaguzi wa Chadema ni Wakunja Ngumi vs Matajiri, Lema awatia Moyo Wakunja Ngumi asema ndio Wapiga KURA wa mwezi October

Pre GE2025 Kumbe uchaguzi wa Chadema ni Wakunja Ngumi vs Matajiri, Lema awatia Moyo Wakunja Ngumi asema ndio Wapiga KURA wa mwezi October

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ni dhahiri Sasa Kuna Chadema mbili ile ya Matajiri inayafadhiliwa kwa c/I ya Wenje na hii Asilia ya Wakunja Ngumi ambayo Mzee Nyanga Bob Makani aliwaachia Bure Nyumba yake iwe ndio Makao makuu

God bless Lema anesema yeye ni Chadema Wakunja Ngumi

Mlale Unino 😄
 
Back
Top Bottom