Raia wa Israel ni genius,mfano Mark(mmiliki wa facebook)
kwa sababu asilimia kubwa wa wayahudi hawaishi kwenye nchi yao (Israel)... wameshikilia nafasi nyeti za nchi mbalimbali duniani!
Nafikiri hata waliposulubu,walisulubu kwa maono,na pia wanapomkataa yule msulubiwa,ni kwa maono,kwa hiyo na sisi tumkatae msulubiwa.Sikiliza nikuambie kitu israel ni nchi ya ahadi na ukifuatilia wavumbuzi wa vitu karibu wote duniani japo hawaishi israeli ni raiya wa nchi hiyo na huwa wanafanya mambo yao kwa maono hutaki unaacha.
Hesabu kuanzia 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 wavumbuzi ni waarabu,na ndio msingi wa maisha yote,bila hesabu hakuna maisha.Hivi waarabu walishavumbua kitu gani hapa duniani?
Kwani hiyo?
Hata Ethiopia kuna Wayahudi lakini ni Wa Ethiopia.
Uchumi mkubwa hapa duniani upo Marekani tu.
Na Marekani ndo taifa kubwa pekee hapa duniani.
Na Marekani inaipa misaada Israel.
Hivi unafahamu asili ya Bill Clinton na George Bush?
we bibi kizee teklonojia unayotumia ni ya makafiri mbona huachi kutumia?
Ndivyo ulivyodanganywa?
ungekuwa ulaya ungeshakula vitu vilivyotengenezwa israel. Wao wamejikita kwenye machinery na vitu vya thamani. Kumbuka hata soko kubwa kuliko yote la almasi, i mean mnada ulikuwa tel aviv wakati wao hawachimbi hata almasi moja. Msaada toka marekani ni kidogo sana, ila kwa vitu hivi vidogo vilivyo vingi wanaweka brand ya westbank au palestine watu wanapigwa changa la macho wanafikiri wananunua vya waarabu wenzeo kumba hamna. Pia ni vya garama sana, hapa bongo huwezi pata. Nenda ulaya, hata china, australia na marekani. Vilevile nimeshawaambia, kuna waisrael wengi zaidi nje ya israel kuliko wale waliopo ndani, na wana makampuni na ndio wanaoendesha uchumi wa nchi hii. Ndio maana hitler alitaka awamalize kwasababu aliona wanafanikiwa katika kila kitu na wanawazidi wazungu.
Porojo za vijiweni!
Kwa hiyo makao makuu ya hayo makampuni yote yako Israel?
Kama ni hivyo kwa nini sasa Israel haina uchumi mkubwa zaidi duniani?
Kwi kwi kwi kwi Watu wanadanganyana sana "Ustaadh Swaleh"
Hahahaaaa mambo niaje mazee? Sijakuona siku mbili tatu yakhe....kwema?
The argument is affirmative.Ndivyo ulivyodanganywa?
LoL!!! Hahahahaha nipo bado nina huzuni kubwa ya kichapo cha team yetu #TeamBrazil 🙂🙂