Raia wa Israel ni genius,mfano Mark(mmiliki wa facebook)
Kuwa genious haimaanishi wewe upo karibu na mungu au una baraka za mungu kwani hata wezi wengi wanaotuibia kila siku maofisini , makaburu waliwaua waafrika wenzetu na kuwafananisha na mbwa pia walikuwa na akili sana za kuvumbua vitu , n.k haina maana wao ni watukufu au wamebarikiwa.
Ni lazima utambue hapa duniani tunategemeana hakuna mtu aliyebora juu ya mwenzake, hata hao wazungu pamoja na hela na teknolojia yao still wanatutegemea sisi kwa namna nyingine, ndio maana unaona obama na raisi wa china wanavyopigana vikumbo kwa kikwete.