Yaani we acha tu! Mi badi niko depressed kiaina.
Ila yataisha tu haya maumivu!
Basi kama Israel inauza bidha kila nchi hapa duniani ingekuwa inaongoza kwa pato hapa duniani. Hiyo post haina ushahidi tupa kule
Wote na jamaa yako ni ma mburura wa kutupa mnazozana kwa dini za kuletwa na wakoloni! Waisraeli au Wasaudia washakuleteeni nini katika familia zenu? makalio yenu.Kama Israel
inashika uchumi wa dunia iweje sasa uchumi mkubwa haupo Tel Aviv au
Jerusalem?
Wote na jamaa yako ni ma mburura wa kutupa mnazozana kwa dini za kuletwa na wakoloni! Waisraeli au Wasaudia washakuleteeni nini katika familia zenu? makalio yenu.
Swali, eti obama ni mkenya au mmarekani?
hii list yako haileweke ! kuna kampuni na bidhaa zote umechanganya pamoja !
kwa mfano Nestle Food ni kampuni ya Kiswiss na ni yatokea 1800 huko !
Kotex ni kampuni ya Kikorea ya kutengeneza pedi za kina mama ! uzi wako una dalili ya uzushi au kutia chumvi ! Giorgio Armani ni Mbunifu wa Kiitali
Mark kazaliwa Marekani, kakulia Marekani, kasomea Marekani, anaongea kama Mmarekani, kampuni kaianzisha Marekani, makao makuu yake yapo Marekani, inalipa kodi Marekani.
Kisa tu yeye ana asili ya Kiyahudi hakumfanyi awe Myahudi. Ni kama ilivyo Obama. Obama ni Mmarekani, siyo Mkenya.
Sasa kama huyo Mark angezaliwa Israel, angekulia Israel, angesomea Israel, kampuni angeianzishia Israel, maka yake makuu yangekuwa Jerusalem, hapo ungekuwa na hoja.
Viber, Face Book, Whats app makampuni makubwa ya mafuta ni yao yananufaika na mafuta ya uarabuni ndio maana Osama alikuwa analalamika sana akataka kuipindua utawala wa kifalme wa saudi arabia aknyanganywa uraia. Hawa watu ni hataree. Romana abromovich siyo raia wa israel lakini ni myahudi kila pasover yupo jerusalem. Gooogle Sergei brim muanzilishi mmyahudi Pepsi pia ni yao. Taasisi za fedha zote pia ni zao. Hawa watu ukiwabariki utabarikiwa ukiwaalaani utalaaniwa tu. Angalia waarabu wanamuita israel adui wao namba moja lakini wnyewe kwa wenyewe wanauana kama kuku. Sasa hivi wanajeshi elfu thelathin wa saudi arabia wameweka kambi mpaka wa iraq na saudi arabia kuhofia ISIS kuingia kuwachinja waisilam wenzao. Cha kushangaza Msaudia yupo radhi kuwa rafiki na muisrael kuliko muislamu mwenzake Muirani. NI HATAREEEE HAWA WATU UKWELI UNAUMA TU watabakia sijui allah atalipizaatalipiza wapi na nyinyi kwa nyi hampendani.
KUwakumbusha tu. Wayahudi wote duniani wako milioni 17 na wote wanajiita kitu kimoja and their hoem land is ISrael.
Gd Bless Israel Yesuuuu Akbar Yesuuuu Akbar Yesuuuu Akbar. Hoo watasema sijui walimuua yesu swali linakuja na ni hao hao wayahudi akina petro yohana paula walituletea ukristo tutawapenda tu. Ukweli unauma:tongue:
Kweli ujinga ni ugonjwa sasa wewe upo manyoni huku tanzania mishipa inakutoka eti unashangilia israel ina uchumi mkubwa, sasa inakusaidia nini kama siyo kilema cha akili?
Hayo makampuni ya uchimbaji mafuta na gas yanamilikiwa na wayahudi kaka.
Mkuu yaani watu wengine wanaongozwa na hisia. Psychological wako na shida sasa wanashindwa kujua kuwa hata mada inahusu nn wanaleta hisia zao hapa. Ila hiyo yote inaonyesha ni jinsi gani wako na stereotype
Basi kama Israel inauza bidha kila nchi hapa duniani ingekuwa inaongoza kwa pato hapa duniani. Hiyo post haina ushahidi tupa kule
Leta ushahidi wa uyanenayo.
Hapo sasa!
GDP ya Israel ni ngapi?
Wewe ndio urudi shule... hiyo BIBLE LANGUAGE.... na hajakosea hata kidogo...Rudi shule ujifunze kingereza bwana mdogo.
Una idea yoyote labda ya uchumi!!!.... bila shaka huna..... ungekuwa nayo usingejibu ulichojibu.... unajiaibisha...