BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Yataisha tu Ustaadh Swaleh na #TeamBrazil itaanza mkakati wa kujisuka upya tayari kwa Copa America USA 2016 na Kombe la Dunia kule Russia 2018. Yule Babu Scolari wameshamtimua.
Yaani we acha tu! Mi badi niko depressed kiaina.
Ila yataisha tu haya maumivu!
Last edited by a moderator: