Hahahaha..watajinyonga aisee, unataka wasitumie na facebook!?
Kweli mkuu..
We angalia mpaka sasa hivi Israel imeshaua waislamu zaidi ya 190, lakini wayahudi wamejeruhiwa hata sita hawafiki..
Pia usisahau kwamba mashambulizi ya safari hii yamesababishwa na Hamasi kuwateka vijana 3 wa Kiyahudi na kuwaua!
Kwa hiyo kwa hesabu yako ya 1=100, then 3=300, kwa hiyo 300-190=------, hahahha bado ngoma nzito.
Ujumbe huu wa kugomea kununua bidhaa zinazotokana na ISRAEL kupinga mashambulizi yanayoendelea sasa kule Gaza UMENIFANYA NIJUE KUMBE Uchumi wote wa Dunia UMESHIKWA NA ISRAEL!! shikamoo Israel.
______________
Shops & Clothing:
______________
- Starbucks
- Tesco
- M&S
- Disney Shop
- McDonalds
- Hugo Boss
- Sunglass Hut
- GAP
- Giorgio Armani
- Calvin Klein
- Ralph Lauren - Playtex
- Banana Republic
- River Island
- Timberland
______________
Drinks:
______________
- Coca Cola
- Fruitopia
- Fanta
- Kia Ora
- Lilt
- Sprite
- Sunkist
- Evian
- Volvic
- Nescafé
- Nesquik - Perrier
- Vittel
______________
Foods & Chocolates:
______________
- Nestle
- Maggi (Noodles)
- Buitoni
- Crosse & Blackwell
- KitKat
- MilkyBar
- Quality Street
- Smarties - After Eight - Aero
- Lion
- Polo
- Felix (Cat Food)
______________
Makeup/Perfumes & Health:
______________
- L'Oreal
- Clinique - DKNY
- Prescriptives - Origins - La Mer
- Bobbi Brown
- Tommy (Perfume)
- Bumble & Bumble
- Kate (Cream)
- Johnson & Johnson (Baby Oil)
- Huggies
- Garnier
______________
Others:
______________
- Arsenal Football Club
- AOL
- Time Warner Time Life Magazine
- CNN
- Barbie
- Intel - Motorola
- Kotex
- The Sun
- The Times
- Australian Newspapers
- National Geographic
- Star Channels (Indian)
- Sky
- Fox
- Nokia
- Standard Newspapers
- New York Post
- The Telegraphed
- Independent
Kuna uwezekano wa kugome vyote hivyo?au lazima tuishi chini ya himaya ya hawa jamaa?
fafanua zaidi,na how exactly they own the world economy?Ujumbe huu wa kugomea kununua bidhaa zinazotokana na ISRAEL kupinga mashambulizi yanayoendelea sasa kule Gaza UMENIFANYA NIJUE KUMBE Uchumi wote wa Dunia UMESHIKWA NA ISRAEL!! shikamoo Israel.
______________
Shops & Clothing:
______________
- Starbucks
- Tesco
- M&S
- Disney Shop
- McDonalds
- Hugo Boss
- Sunglass Hut
- GAP
- Giorgio Armani
- Calvin Klein
- Ralph Lauren - Playtex
- Banana Republic
- River Island
- Timberland
______________
Drinks:
______________
- Coca Cola
- Fruitopia
- Fanta
- Kia Ora
- Lilt
- Sprite
- Sunkist
- Evian
- Volvic
- Nescafé
- Nesquik - Perrier
- Vittel
______________
Foods & Chocolates:
______________
- Nestle
- Maggi (Noodles)
- Buitoni
- Crosse & Blackwell
- KitKat
- MilkyBar
- Quality Street
- Smarties - After Eight - Aero
- Lion
- Polo
- Felix (Cat Food)
______________
Makeup/Perfumes & Health:
______________
- L'Oreal
- Clinique - DKNY
- Prescriptives - Origins - La Mer
- Bobbi Brown
- Tommy (Perfume)
- Bumble & Bumble
- Kate (Cream)
- Johnson & Johnson (Baby Oil)
- Huggies
- Garnier
______________
Others:
______________
- Arsenal Football Club
- AOL
- Time Warner Time Life Magazine
- CNN
- Barbie
- Intel - Motorola
- Kotex
- The Sun
- The Times
- Australian Newspapers
- National Geographic
- Star Channels (Indian)
- Sky
- Fox
- Nokia
- Standard Newspapers
- New York Post
- The Telegraphed
- Independent
Kuna uwezekano wa kugome vyote hivyo?au lazima tuishi chini ya himaya ya hawa jamaa?
Waambie hao!
Manake sijui hata wanachokiongelea ni kitu gani.
Halafu, iweje Israel kama ndo inashikilia uchumi wa dunia ipewe misaada na Marekani?
ni kweli lakini sio ishu ya kufurahia kaka
Coca-cola ni kampuni ya Kimarekani na makao yake makuu yapo midtown Atlanta, na siyo Tel Aviv wala Gaza!
Ujumbe huu wa kugomea kununua bidhaa zinazotokana na ISRAEL kupinga mashambulizi yanayoendelea sasa kule Gaza UMENIFANYA NIJUE KUMBE Uchumi wote wa Dunia UMESHIKWA NA ISRAEL!! shikamoo Israel.
______________
Shops & Clothing:
______________
- Starbucks
- Tesco
- M&S
- Disney Shop
- McDonalds
- Hugo Boss
- Sunglass Hut
- GAP
- Giorgio Armani
- Calvin Klein
- Ralph Lauren - Playtex
- Banana Republic
- River Island
- Timberland
______________
Drinks:
______________
- Coca Cola
- Fruitopia
- Fanta
- Kia Ora
- Lilt
- Sprite
- Sunkist
- Evian
- Volvic
- Nescafé
- Nesquik - Perrier
- Vittel
______________
Foods & Chocolates:
______________
- Nestle
- Maggi (Noodles)
- Buitoni
- Crosse & Blackwell
- KitKat
- MilkyBar
- Quality Street
- Smarties - After Eight - Aero
- Lion
- Polo
- Felix (Cat Food)
______________
Makeup/Perfumes & Health:
______________
- L'Oreal
- Clinique - DKNY
- Prescriptives - Origins - La Mer
- Bobbi Brown
- Tommy (Perfume)
- Bumble & Bumble
- Kate (Cream)
- Johnson & Johnson (Baby Oil)
- Huggies
- Garnier
______________
Others:
______________
- Arsenal Football Club
- AOL
- Time Warner Time Life Magazine
- CNN
- Barbie
- Intel - Motorola
- Kotex
- The Sun
- The Times
- Australian Newspapers
- National Geographic
- Star Channels (Indian)
- Sky
- Fox
- Nokia
- Standard Newspapers
- New York Post
- The Telegraphed
- Independent
Kuna uwezekano wa kugome vyote hivyo?au lazima tuishi chini ya himaya ya hawa jamaa?
Porojo za vijiweni!
Sio kwamba nafurahia mkuu..
Tatizo jamaa ni wabishi. Kuna mapendekezo yametolewa na Misri ili kusitisha mapigano, Israel wameyakubali, lakini wao hawataki, eti kufanya hivyo ni sawa na kusalimu amri.
Mtu kama kakuzidi nguvu kwa nn usikubali kwamba kakuzidi? Waache wachapwe!
Hujielewi (i'm serious).., Bahkressa anauza magari sio..??!uchumi wa dunia kwa kuuza mashati na mikate?!!1
Hujielewi (i'm serious).., Bahkressa anauza magari sio..??!
Unajielewa (serious), ameshikilia uchumi wa Tanzania?
Naona swaumu imekupanda kichwani!!??