Kumbe uchumi wote wa dunia umeshikwa na Israel?

Status
Not open for further replies.
mtume Muhamad alishaua waisraeli kama 900 kwa kuwakata vichwa mbona hatujamchukia na kumtenga? NGOJA NIENDE KUVINUNUA

Na sisi tuache bidhaa za Bakhresa sababu amekataa kuweka Emmanuel Tv

Yaani az am TV hata bure siitaki kwani mimi ni mpenzi mkubwa wa Emmanuel TV.
Hiyo channel kama biashara yako ina mahusiano na kuzimu utafilisika
 


Mkuu achana naye huyu jamaa ameisha waachia utu wake wayahudi!
Ndio maana yupo namna hii alivyo!
 

Sijaona mnyamwezi pungu.1 kama huyu, usichoelewa nini? wayahudi wote "uyahudi" wao ndo Taifa na kwao ni Israel..hiyo misaada ni jina tu ila wanapeleka kwao coz ni wajibu kupajenga na kupalinda...myahudi hata awe wapi bado nimuisrael tu na hapa kilichoongelewa ni utajiri wa wayahudi.

Kwanza izo data umezitoa wapi wakati huwa mnasema Israel haipo katika ramani ya dunia na haiexist?!!
 
nasoma comments za watu hata sielewi. mnataka kusema nini hasa? kwamba Wayahudi ni miungu?? wana kitu ambacho wanadamu wengine hatuna?

manake mngekuwa mnasema kwamba "so far Wayahudi wameongoza lakini wana competetors wakubwa like so and so"

lakini naona tu
"hamuwezi wayahudi"
"matajiri wote wayahudi"
"wayahudi wana kila kitu"
"wayahudi wazalendo"
"wayahudi dunia nzima wana undugu wa karibu"
"wayahudi hawasahau nyumbani"
"hata kama hakuwahi kuishi israeli bado ana damu ya kiyahudi"

DAMU YA KIYAHUDI INA NINI?

MNATAKA KUSEMA NINI?
 
Kuruan ndio chakula gani?
Haya ndio matatizo ya kuvaa nguo za ndani za kiyahudi, huwa zinabanabana kiasi kumsababisha mtu kuropoka ovyo.
Acha matusi wewe. You know what I mean. Those invaders(Palestinians) are not know by Allah and his sole messenger. WE KNOW THAT AND THEY KNOW THAT.
 
Sio kweli hizo bidhaa copyright zake hazipo israel bali ni nchi za ulaya au marekani na hazina uhusiano na israel
Zinagomewa kwa sababu makampuni hayo wanasaidia masettlers wa kizayuni kuhamia israel kwa kuchukua ardhi ya wapelidtine.
Wewe ukinunua coke faida ya franchise hiyo wanasaidiwa masettlers
Israel wanapeleka mbiga mboga matunda figs olives huko uropa hawana kitu wanachosafirisha.
Wewe lini umeona tv au gari made in uyahudi.
Ujue uyahudi wanapewa grants na USA zaidi ya usd 25billion kwa mwaka zaidi ya misaada yote usa wanatoa kwa rest ya dunia.
Ni taifa tegemezi kama sisi
Watu wengi hawaipendi huko ulaya.
Zaid ya silaha hakuna cha maana.
 
Inamaanisha Israel wanahisa kwenye hizo mambo au ni vp...sijaelewa
israel wana hisa, pia wengine wanamiliki kabisa,ila wanajifanya sio waisrael, mfano, marekani kuna wayahudi si chini ya milioni kumi na wote wanajitambulisha kuwa ni wamarekani lakini wana kwenye mabegi yao wanazo passport mbili uraia mbili. kumbuka wayahudi wote ni waisrael.

Bila shaka ulikuwa na maana Wayahudi!

marekani ni uchumi mkubwa kuliko wote duniani na matajiri top walioishikilia marekani kiuchumi karibia wote ni wayahudi wenye uraia wa israel. hivyo ni waisrael na huwa wanaenda kutumikia jeshi kabisa kule israel na kurudi marekani walau kwa miezi sita katika maisha yao.passaka zote wapo israel, na michango wanachanga kusaidia ujenzi wa nyumba zaidi kule israel.hivyo ukigoma kununua bidhaa zinazotengenezwa israel unajisumbua kwasababu unawaungisha kupitia bidhaa zinazotengenezwa marekani na ulaya.jiulize kwanini uchumi wao haushuki?

uchumi wa dunia kwa kuuza mashati na mikate?!!1
hata mafuta ya waarabu wenzio makampuni mengi tu ya mafuta yanamilikiwa na wayahudi/waisrael lakini wanapojitambulisha kwa mwarabu wanajitambulisha kama wamarekani, waingereza etc. changa la macho.

how is Nokia mali ya Israel?
kuna wayahudi/waisrael wengi zaidi nje ya israel kuliko wale walioko pale israel/middle east. ulaya wengi sana walienda nchi za scandinavia kutoka ujerumani na urusi/poland kipindi cha holocost hivyo hata kama watajitambulisha kama ni wa norway, wafinland ambako ndio nokia ilipo ujue mioyoni ni waisrael na wanasapoti israel na waisrael indirectly kiuchumi na kidiplomasia.

Kama Israel inashika uchumi wa dunia iweje sasa uchumi mkubwa haupo Tel Aviv au Jerusalem?
swali hilo kwamwulize obama, kwanini hana nguvu dhidi ya waisrael wale wa middle east wakati ndugu zake waislam wanaangamizwa kila siku? ameshikwa masikio na domo limekua na zege kwasababu ndio wanaoiendesha marekani.uchumi wa marekani umeshikiliwa na hawa jamaa. ndio maana marekani inawachezea waarabu ipendavyo.
 
Nenda mbali zaidi,hakuna kitu kama "bidhaa zimebarikiwa",ni mkono mrefu wa Shetani siyo Mungu,na hao Waisrael ndiyo maagent wakubwa duniani...Wayuhudi wa kweli ni wachache mno duniani,Israel siyo kwamba inaogopwa na Marekani,bali ni Idara na hivyo ni mkono wa Serikali ya kishetani ya Marekani.
 
Inamaanisha Israel wanahisa kwenye hizo mambo au ni vp...sijaelewa

Bila shaka ulikuwa na maana Wayahudi!

Kwa hiyo makao makuu ya hayo makampuni yote yako Israel?

Kama ni hivyo kwa nini sasa Israel haina uchumi mkubwa zaidi duniani?

uchumi wa dunia kwa kuuza mashati na mikate?!!1

how is Nokia mali ya Israel?

Kama Israel inashika uchumi wa dunia iweje sasa uchumi mkubwa haupo Tel Aviv au Jerusalem?

ungekuwa ulaya ungeshakula vitu vilivyotengenezwa israel. wao wamejikita kwenye machinery na vitu vya thamani. kumbuka hata soko kubwa kuliko yote la almasi, i mean mnada ulikuwa tel aviv wakati wao hawachimbi hata almasi moja. msaada toka marekani ni kidogo sana, ila kwa vitu hivi vidogo vilivyo vingi wanaweka brand ya westbank au palestine watu wanapigwa changa la macho wanafikiri wananunua vya waarabu wenzeo kumba hamna. pia ni vya garama sana, hapa bongo huwezi pata. nenda ulaya, hata china, australia na marekani. vilevile nimeshawaambia, kuna waisrael wengi zaidi nje ya israel kuliko wale waliopo ndani, na wana makampuni na ndio wanaoendesha uchumi wa nchi hii. ndio maana hitler alitaka awamalize kwasababu aliona wanafanikiwa katika kila kitu na wanawazidi wazungu.
 
Obama mwenyewe myahudi halafu mijitu humu mibishi sana.
 
Acha matusi wewe. You know what I mean. Those invaders(Palestinians) are not know by Allah and his sole messenger. WE KNOW THAT AND THEY KNOW THAT.

Hivi hawa unaosema walotambulia na kuruan!!! Ni hawa hawa waliomuuwa yesu? Au kuna wengine?
 



Kwa hiki kichwa chako kilivyo kizito! inaonyesha mwalimu wako secondary anapata tabu sana na wewe!
 
Mkuu soma historia kwa uzuri kila kitu kwa Dunia hii kinamilikiwa na Myahadi ambaye ndio Muisrael.Ile nchi ina kila kitu kwanza ni ndogo lakini Ulimwengu unaiogopa kwa kila kitu kwa vita nk,

Kama ulimwengu unaiogopa kwa vita kwa nini sasa Marekani inaipa misaada kibao?

Hebu acheni ujinga nyie watu khaaa!
 
Kwahiyo na nyie mnaoshabikia wayahudi. ni wayahudi au mnamilikiwa na wayahudi?
 

We si umesema ni m USA imekuaje tena unalilia Tanzania na CDM? Akili yako ngumu sana kupambanua mambo, lala upumzike maana huko bado ndo kwanza saumu imepamba moto.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…