Huu upumbavu huu wakushabikia watu wengine mnaweza mkajikuta mnasema hata wake zenu ni mali ya wayahudi!
Umeona eeh yan mnawapraise wapelekeeni dada zenu bac....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu upumbavu huu wakushabikia watu wengine mnaweza mkajikuta mnasema hata wake zenu ni mali ya wayahudi!
mtume Muhamad alishaua waisraeli kama 900 kwa kuwakata vichwa mbona hatujamchukia na kumtenga? NGOJA NIENDE KUVINUNUA
Na sisi tuache bidhaa za Bakhresa sababu amekataa kuweka Emmanuel Tv
Jaribu kutumia kichwa kidogo kufikiri.
SISI Wahamiaji tuishio USA TUNAKATWA KODI YETU na Hio ndio iendayo ISRAEL kuwanenepesha wale WAUWAJI.
Sasa huo utumbo wa kusema Wanaowapa ni WAISRAELI WENZAO umeuotoa CHADEMA au?
Hivi Watanzania lini tutaacha KUROPOKA OVYO?
Duh! Yaani utafkiri taifa letu limepigwa laana ya UJINGA!
yesu wangu eee!
The people whom you Worship are poor than TZ!
They beg and beg and beg.!
You seems to know NOTHING about them, do you?
http://www.rense.com/general31/rege.htm
Rense.com
-
US Financial Aid To Israel -
Figures, Facts And Impact
Washington Report On Middle East Affairs
RMEA.com
11-9-2
Summary
-
Benefits to Israel of U.S. Aid
Since 1949 (As of November 1, 1997)
-
Foreign Aid Grants and Loans
$74,157,600,000
-
Other U.S. Aid (12.2% of Foreign Aid)
$9,047,227,200
-
Interest to Israel from Advanced Payments
$1,650,000,000
-
Grand Total
$84,854,827,200
-
Total Benefits per Israeli
$14,630
-
Cost to U.S. Taxpayers of U.S.
Aid to Israel
-
Grand Total
$84,854,827,200
-
Interest Costs Borne by U.S.
$49,936,680,000
-
Total Cost to U.S. Taxpayers
$134,791,507,200
-
Total Cost per Israeli
$23,240
Kujitoa mhanga na mabomHivi waarabu walishavumbua kitu gani hapa duniani?
Acha matusi wewe. You know what I mean. Those invaders(Palestinians) are not know by Allah and his sole messenger. WE KNOW THAT AND THEY KNOW THAT.Kuruan ndio chakula gani?
Haya ndio matatizo ya kuvaa nguo za ndani za kiyahudi, huwa zinabanabana kiasi kumsababisha mtu kuropoka ovyo.
Go and read Jibril's book. Show Palestine in that book. Palestinians are invaders of Israel land. They must go.Wewe jamaa utakuwa unalaana sio bure!
israel wana hisa, pia wengine wanamiliki kabisa,ila wanajifanya sio waisrael, mfano, marekani kuna wayahudi si chini ya milioni kumi na wote wanajitambulisha kuwa ni wamarekani lakini wana kwenye mabegi yao wanazo passport mbili uraia mbili. kumbuka wayahudi wote ni waisrael.Inamaanisha Israel wanahisa kwenye hizo mambo au ni vp...sijaelewa
Bila shaka ulikuwa na maana Wayahudi!
marekani ni uchumi mkubwa kuliko wote duniani na matajiri top walioishikilia marekani kiuchumi karibia wote ni wayahudi wenye uraia wa israel. hivyo ni waisrael na huwa wanaenda kutumikia jeshi kabisa kule israel na kurudi marekani walau kwa miezi sita katika maisha yao.passaka zote wapo israel, na michango wanachanga kusaidia ujenzi wa nyumba zaidi kule israel.hivyo ukigoma kununua bidhaa zinazotengenezwa israel unajisumbua kwasababu unawaungisha kupitia bidhaa zinazotengenezwa marekani na ulaya.jiulize kwanini uchumi wao haushuki?Kwa hiyo makao makuu ya hayo makampuni yote yako Israel?yako marekani, yapo ulaya na maeneo mengine. unajua zile nyumba zinazojengwa westbank makazi ya walowezi hela huwa zinatoka wapi? kuna charities za wayahudi duniani wanachanga hela sana wanataka kujenga ile nchi yote ijae waisrael kwani kuna waisrael wengi zaidi nje ya israel kuliko wale waliopo pale israel.
Kama ni hivyo kwa nini sasa Israel haina uchumi mkubwa zaidi duniani?
hata mafuta ya waarabu wenzio makampuni mengi tu ya mafuta yanamilikiwa na wayahudi/waisrael lakini wanapojitambulisha kwa mwarabu wanajitambulisha kama wamarekani, waingereza etc. changa la macho.uchumi wa dunia kwa kuuza mashati na mikate?!!1
kuna wayahudi/waisrael wengi zaidi nje ya israel kuliko wale walioko pale israel/middle east. ulaya wengi sana walienda nchi za scandinavia kutoka ujerumani na urusi/poland kipindi cha holocost hivyo hata kama watajitambulisha kama ni wa norway, wafinland ambako ndio nokia ilipo ujue mioyoni ni waisrael na wanasapoti israel na waisrael indirectly kiuchumi na kidiplomasia.how is Nokia mali ya Israel?
swali hilo kwamwulize obama, kwanini hana nguvu dhidi ya waisrael wale wa middle east wakati ndugu zake waislam wanaangamizwa kila siku? ameshikwa masikio na domo limekua na zege kwasababu ndio wanaoiendesha marekani.uchumi wa marekani umeshikiliwa na hawa jamaa. ndio maana marekani inawachezea waarabu ipendavyo.Kama Israel inashika uchumi wa dunia iweje sasa uchumi mkubwa haupo Tel Aviv au Jerusalem?
Inamaanisha Israel wanahisa kwenye hizo mambo au ni vp...sijaelewa
Bila shaka ulikuwa na maana Wayahudi!
Kwa hiyo makao makuu ya hayo makampuni yote yako Israel?
Kama ni hivyo kwa nini sasa Israel haina uchumi mkubwa zaidi duniani?
uchumi wa dunia kwa kuuza mashati na mikate?!!1
how is Nokia mali ya Israel?
Kama Israel inashika uchumi wa dunia iweje sasa uchumi mkubwa haupo Tel Aviv au Jerusalem?
ungekuwa ulaya ungeshakula vitu vilivyotengenezwa israel. wao wamejikita kwenye machinery na vitu vya thamani. kumbuka hata soko kubwa kuliko yote la almasi, i mean mnada ulikuwa tel aviv wakati wao hawachimbi hata almasi moja. msaada toka marekani ni kidogo sana, ila kwa vitu hivi vidogo vilivyo vingi wanaweka brand ya westbank au palestine watu wanapigwa changa la macho wanafikiri wananunua vya waarabu wenzeo kumba hamna. pia ni vya garama sana, hapa bongo huwezi pata. nenda ulaya, hata china, australia na marekani. vilevile nimeshawaambia, kuna waisrael wengi zaidi nje ya israel kuliko wale waliopo ndani, na wana makampuni na ndio wanaoendesha uchumi wa nchi hii. ndio maana hitler alitaka awamalize kwasababu aliona wanafanikiwa katika kila kitu na wanawazidi wazungu.Sio kweli hizo bidhaa copyright zake hazipo israel bali ni nchi za ulaya au marekani na hazina uhusiano na israel
Zinagomewa kwa sababu makampuni hayo wanasaidia masettlers wa kizayuni kuhamia israel kwa kuchukua ardhi ya wapelidtine.
Wewe ukinunua coke faida ya franchise hiyo wanasaidiwa masettlers
Israel wanapeleka mbiga mboga matunda figs olives huko uropa hawana kitu wanachosafirisha.
Wewe lini umeona tv au gari made in uyahudi.
Ujue uyahudi wanapewa grants na USA zaidi ya usd 25billion kwa mwaka zaidi ya misaada yote usa wanatoa kwa rest ya dunia.
Ni taifa tegemezi kama sisi
Watu wengi hawaipendi huko ulaya.
Zaid ya silaha hakuna cha maana.
Acha matusi wewe. You know what I mean. Those invaders(Palestinians) are not know by Allah and his sole messenger. WE KNOW THAT AND THEY KNOW THAT.
Sijaona mnyamwezi pungu.1 kama huyu, usichoelewa nini? wayahudi wote "uyahudi" wao ndo Taifa na kwao ni Israel..hiyo misaada ni jina tu ila wanapeleka kwao coz ni wajibu kupajenga na kupalinda...myahudi hata awe wapi bado nimuisrael tu na hapa kilichoongelewa ni utajiri wa wayahudi.
Kwanza izo data umezitoa wapi wakati huwa mnasema Israel haipo katika ramani ya dunia na haiexist?!!
Mkuu soma historia kwa uzuri kila kitu kwa Dunia hii kinamilikiwa na Myahadi ambaye ndio Muisrael.Ile nchi ina kila kitu kwanza ni ndogo lakini Ulimwengu unaiogopa kwa kila kitu kwa vita nk,
Jaribu kutumia kichwa kidogo kufikiri.
SISI Wahamiaji tuishio USA TUNAKATWA KODI YETU na Hio ndio iendayo ISRAEL kuwanenepesha wale WAUWAJI.
Sasa huo utumbo wa kusema Wanaowapa ni WAISRAELI WENZAO umeuotoa CHADEMA au?
Hivi Watanzania lini tutaacha KUROPOKA OVYO?
Duh! Yaani utafkiri taifa letu limepigwa laana ya UJINGA!
yesu wangu eee!