sam2000
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 528
- 337
nasoma comments za watu hata sielewi. mnataka kusema nini hasa? kwamba Wayahudi ni miungu?? wana kitu ambacho wanadamu wengine hatuna?
manake mngekuwa mnasema kwamba "so far Wayahudi wameongoza lakini wana competetors wakubwa like so and so"
lakini naona tu
"hamuwezi wayahudi"
"matajiri wote wayahudi"
"wayahudi wana kila kitu"
"wayahudi wazalendo"
"wayahudi dunia nzima wana undugu wa karibu"
"wayahudi hawasahau nyumbani"
"hata kama hakuwahi kuishi israeli bado ana damu ya kiyahudi"
DAMU YA KIYAHUDI INA NINI?
MNATAKA KUSEMA NINI?
Exactly mkuu, I hate this inferiority complex shown here, people do not read at all, they just believe in what they are told. I have said it in another post it all boils down to research and development funds from the government more than 4% of their GDP is spend on research, highest in the world so naturally you would expect a lot from them!