Kumbe uchumi wote wa dunia umeshikwa na Israel?

Kumbe uchumi wote wa dunia umeshikwa na Israel?

Status
Not open for further replies.
nasoma comments za watu hata sielewi. mnataka kusema nini hasa? kwamba Wayahudi ni miungu?? wana kitu ambacho wanadamu wengine hatuna?

manake mngekuwa mnasema kwamba "so far Wayahudi wameongoza lakini wana competetors wakubwa like so and so"

lakini naona tu
"hamuwezi wayahudi"
"matajiri wote wayahudi"
"wayahudi wana kila kitu"
"wayahudi wazalendo"
"wayahudi dunia nzima wana undugu wa karibu"
"wayahudi hawasahau nyumbani"
"hata kama hakuwahi kuishi israeli bado ana damu ya kiyahudi"

DAMU YA KIYAHUDI INA NINI?

MNATAKA KUSEMA NINI?

Exactly mkuu, I hate this inferiority complex shown here, people do not read at all, they just believe in what they are told. I have said it in another post it all boils down to research and development funds from the government more than 4% of their GDP is spend on research, highest in the world so naturally you would expect a lot from them!
 
Jewish people are overrepresented in fields as diverse as politics, science, the wealthiest americans, art, etc. compared to their population size. Jewish people are only 2% of Americans but they make up about 10% of senators, about 25% of nobel prize winners and fields medal winners, 20% of the wealthiest 400 americans, etc.-according to The Strange Dope (Why are Jewish people so disproportionately successful - Straight Dope Message Board)

Jews control the world (according to Time Line Of Jewish World Domination | Real Jew News) soma hapa time line of jewish world domination.

Walishafanyiwa hujuma nyingi lakini wamepita...nawakubali sana!!

Sawa kabisa mkuu ni kweli kabisa. Tatizo wengi wanatoa coments hapa nadhani wanaelewa tuu mother tongue zao maana hata kiswahili kimekuwa kigumu kwao kuelewa hapa. So usishangae mtu akapinga hili pia
 
Kwa hiyo?

Ndo unataka kunambia mungu anayakamata mabomu ya HAMAS yasiangukie huko Tel Aviv?

Kila mtu anajua sila za Israel nyingi ni za Kimarekani.

Na kwenye silaha conventional hapa duniani hakuna zaidi ya Mmarekani.

Nuff said.

Hizohizo za marekani zinatengenezwa na wao wayahudi..hata bomu la nyuklia lilitengenezwa na myahudi Einstern..hahaha
 
Exactly mkuu, I hate this inferiority complex shown here, people do not read at all, they just believe in what they are told. I have said it in another post it all boils down to research and development funds from the government more than 4% of their GDP is spend on research, highest in the world so naturally you would expect a lot from them!

tense tatizo siyo spend ni spent!
 
israel wana hisa, pia wengine wanamiliki kabisa,ila wanajifanya sio waisrael, mfano, marekani kuna wayahudi si chini ya milioni kumi na wote wanajitambulisha kuwa ni wamarekani lakini wana kwenye mabegi yao wanazo passport mbili uraia mbili. kumbuka wayahudi wote ni waisrael.



marekani ni uchumi mkubwa kuliko wote duniani na matajiri top walioishikilia marekani kiuchumi karibia wote ni wayahudi wenye uraia wa israel. hivyo ni waisrael na huwa wanaenda kutumikia jeshi kabisa kule israel na kurudi marekani walau kwa miezi sita katika maisha yao.passaka zote wapo israel, na michango wanachanga kusaidia ujenzi wa nyumba zaidi kule israel.hivyo ukigoma kununua bidhaa zinazotengenezwa israel unajisumbua kwasababu unawaungisha kupitia bidhaa zinazotengenezwa marekani na ulaya.jiulize kwanini uchumi wao haushuki?

hata mafuta ya waarabu wenzio makampuni mengi tu ya mafuta yanamilikiwa na wayahudi/waisrael lakini wanapojitambulisha kwa mwarabu wanajitambulisha kama wamarekani, waingereza etc. changa la macho.

kuna wayahudi/waisrael wengi zaidi nje ya israel kuliko wale walioko pale israel/middle east. ulaya wengi sana walienda nchi za scandinavia kutoka ujerumani na urusi/poland kipindi cha holocost hivyo hata kama watajitambulisha kama ni wa norway, wafinland ambako ndio nokia ilipo ujue mioyoni ni waisrael na wanasapoti israel na waisrael indirectly kiuchumi na kidiplomasia.

swali hilo kwamwulize obama, kwanini hana nguvu dhidi ya waisrael wale wa middle east wakati ndugu zake waislam wanaangamizwa kila siku? ameshikwa masikio na domo limekua na zege kwasababu ndio wanaoiendesha marekani.uchumi wa marekani umeshikiliwa na hawa jamaa. ndio maana marekani inawachezea waarabu ipendavyo.

Obama mwenyewe myahudi halafu mijitu humu mibishi sana.

Hata roman abromovich wa chelsea ni myahudi sema ana uraia wa russia..pia hata dogo wa facebook ni myahudi

Adhabu ya kugeuka Nyani ukiikojolea Koran

Hizohizo za marekani zinatengenezwa na wao wayahudi..hata bomu la nyuklia lilitengenezwa na myahudi Einstern..hahaha

Naona Division one za KANISA zinaongea.

Nashkuru Mungu nchi yangu haina kiongozi AKILI kuambiwa KIASI HIKI.
La si hivyo leo TZ tungerudi zile KARNE za Nyerere za kuvaa KANIKI na Kuficha mafuta ya ledigey usijeonekana na MGAMBO.
 
waongoze wasiongoze kwa uchumi duniani watu hao wanalaana ya muumba wa mbingu na ardhi siku ya mwisho jahanam ndio makazi yao
 
Tatizo tunaleta udini kushinda uhalisia..mwarabu hana historia kubwa katika nyanya ya sayansi ba teknolojia kumlinganisha na myahudi..huu ndo ukweli
 
hivi huu uzi umegeukaje kuwa wa kidini? dah! inaniuma sana wengine hapa ni ndugu ila hatujuani na ID fake zetu, lakini tunaishia kutukanana
 
Tatizo tunaleta udini kushinda uhalisia..mwarabu hana historia kubwa katika nyanya ya sayansi ba teknolojia kumlinganisha na myahudi..huu ndo ukweli

Mkuu yaani watu wengine wanaongozwa na hisia. Psychological wako na shida sasa wanashindwa kujua kuwa hata mada inahusu nn wanaleta hisia zao hapa. Ila hiyo yote inaonyesha ni jinsi gani wako na stereotype
 
mbona hukuweka Manchester united,chelsea,West Ham na Tottenham???ambazo wanaozimiliki wote wana asili ya kiyahudi???kumbuka R.Abramovic aliwahi toa 40m dollars kuisaidia govt ya Israel siku za nyuma...ni mrussian jew...

Roman Abromovic ni mrusi mwenye uyahudi kwenye damu yake. Wazazi wake ni wayahudi. Pia yeye ni chairman wa Federation of Jewish Communities of Russia. Yuko urusi lakini bado anaendesha movement za Kiyahudi ndani ya nchi hiyo. Na hakuna wa kumzingua. Serikali ya urusi iko kiganjani mwake.
 
Roman Abromovic ni mrusi mwenye uyahudi kwenye damu yake. Wazazi wake ni wayahudi. Pia yeye ni chairman wa Federation of Jewish Communities of Russia. Yuko urusi lakini bado anaendesha movement za Kiyahudi ndani ya nchi hiyo. Na hakuna wa kumzingua. Serikali ya urusi iko kiganjani mwake.

Pia tukiachana na mmiliki wa Chelsea kuwa Mrusi-Myahudi wamiliki wa Manchester united familia ya Glazer ni Wamarekani-Wayahudi. Baba wa Malcon Glazer Mzee Abraham Glazer alihamia marekani kutoka Israel. Waisraeli wametawanyika kwenye mataifa makubwa duniani. Na ndio wanaendesha uchumi wa Dunia Indirectly.
 
Matusi ni moja ya ibada zenu na kwa hilo sikuwezi, manake hio ni fani yako.

Hebu tusaidie hio kauli yako unayosema Msaada unatoka kwa Wayahudi na unakwenda kwa wayahudi Umeipata wapi.

Tafadhali Usiniambie PADRI WAKO KASEMA.
Hii itakuwa tunapoteza wakati bure hapa.
Manake nyie kila akisemacho Padri mnabeba tu bila hata kuuliza.

Unadhalilisha sana hilo jina la Isike..
Isike hakuwa mjinga kama wewe!
 
Jews wako na akili mingi sana bila hivyo wasingeweza kuishi katikati ya maadui wao wa ukweli, cheki hapa chini wanavyodungua mdogo mdogo hawa watoto wa house girl wa Abraham

 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo makao makuu ya hayo makampuni yote yako Israel?

Kama ni hivyo kwa nini sasa Israel haina uchumi mkubwa zaidi duniani?

kwa sababu asilimia kubwa wa wayahudi hawaishi kwenye nchi yao (Israel)... wameshikilia nafasi nyeti za nchi mbalimbali duniani!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom