Kumbe uchumi wote wa dunia umeshikwa na Israel?

Kumbe uchumi wote wa dunia umeshikwa na Israel?

Status
Not open for further replies.
Wote na jamaa yako ni ma mburura wa kutupa mnazozana kwa dini za kuletwa na wakoloni! Waisraeli au Wasaudia washakuleteeni nini katika familia zenu? makalio yenu.

Wewe na mizimu yako imekusaidia nini kama si laana ya kutawaliwa na baada ya Uhuru umebaki ombaomba kwa hao walioleta dini na meli! Hata sindano ya kushonea viraka kwenye makalio yako unaletewa kutoka China!
Bisha utueleze dini ya kuabudu mizimu, uchawi na ushirikina imekusaidia nini wewe muafrika mpaka ujivune nayo??? mfyuuuuuuu
 
ISRAEL inakusaidia nini katika maisha yako hapa bongo, unakaa kujadili nchi ambayo haina mpango wowote na wewe sana sana ni nchi ambayo siku zote inapanga strategy za kuua watu tu. NAICHUKIA ISRAEL KULIKO NCHI ZOTE DUNIANI
 
ISRAEL inakusaidia nini katika maisha yako hapa bongo, unakaa kujadili nchi ambayo haina mpango wowote na wewe sana sana ni nchi ambayo siku zote inapanga strategy za kuua watu tu. NAICHUKIA ISRAEL KULIKO NCHI ZOTE DUNIANI

kwanini uichukie.
 
Naona Division one za KANISA zinaongea.

Nashkuru Mungu nchi yangu haina kiongozi AKILI kuambiwa KIASI HIKI.
La si hivyo leo TZ tungerudi zile KARNE za Nyerere za kuvaa KANIKI na Kuficha mafuta ya ledigey usijeonekana na MGAMBO.

sasa kwa wewe mwenye akili zaidi,unafikiri ni kwa nini UN,mataifa makubwa,na taasisi kubwa dunian hazichukui hatua kwa Israel tangu kuikalia kwa nguvu palestina tena na kujitanga wao taifa huru?UHURU WA KUONGEA TUNAO LAKIN HAUBADILI UKWELI
 
Uchumi wa Dunia unashikwa na Mafuta na Gesi period !

Mkuu wewe ndio umeongea! Na ndio maana Mmarekani hata siku moja hatakaa atoke Middle East kwani bila mafuta hana ujanja. Nashangaa mtu anataja kampuni ( tena nyingine wala hazimilikiwi na wayahudi kama anavyotaka watu waamini) za kuuza kahawa, suti, magazeti, klabu za mpira, maziwa ya watoto n.k eti ndio zifanye Israel washikilie uchumi wa dunia.

Wayahudi (sio Israel) wana influence kuhusu sera za Marekani za mambo ya nje kwa kuwa wameshikilia nyanja nyingi za uchumi hasa Media huko, lakini kwamba wanashikilia uchumi wa dunia ni uzushi.
 
Jamaa wamejitanua sana tu. Achilia mbali viwanda vya siraha
 
soma asili ya wamiliki na wavumbuzi wa google ni kina nani na wana asili ya wapi?

Sijui umesoma nilichokiweka hapo juu au umekurupuka tu? Kumbuka, si kila Myahudi ni Muisrael. Na juu hapo nimeliweka hilo, au lugha imekupiga chenga? Kuna wayahudi Yemen mpaka hii leo , tena hao ndio wa asili, si wale Wayahudi wa Ulaya ambao waliingia tu hiyo dini, na hawana habari na Israel kabisa.

Kwa kuwa kusoma huelewi, ngoka nikusaidie kwa picha, labda, narudia labda utanielewa. Maana unaonesha umeleta mada usiyoijuwa na usiyoweza kuitetea:

Please take a good look at the Yemeni pictures and tell me if any of the genuine original Jews of the Middle East resemble the former Khazars of Europe who converted to Judaism in the 9th century and now refer to themselves as 'Jews' and also claim to be the descendants of the biblical 'Israelites'. Is it possible the Yemeni Jews could have any genetic relation to Anglo Jews? The obvious answer is: NO! A picture is indeed worth a thousand words!
oren500.jpg
Here is a genuine Anglo-Jew by the name of Michael Oren (Bornstein), an American Jew who went to Palestine at the of 25, metamorphed into 'Israeli', changed his name to 'Oren' and is now (2009) back in the US as the 'Ambassador' of stolen Palestine. I post his picture first to show how differt Anglo-Jews are from the indegenios people of the region and how alien they are to Arab Palestine.

yemeni102.jpg


yemeni107.jpg


yemeni119.jpg


yemeni101.jpg


yemeni108.jpg


yemeni103.jpg


yemeni150.jpg


yemeni152.jpg


yemeni160.jpg


yemeni124.jpg


yemeni121.jpg


yemeni104.jpg


yemeni105.jpg


yemeni106.jpg


yemeni109.jpg
The word 'Allah' in Arabic is displayed in a Yemeni Jews' home. Arab Muslims, Arab Chrisians and Arab Jews referred to God as 'Allah'. It simply means God. But Anglo-Jews had been deceiving the gullible goyim that 'Allah' is only the Muslims' God. Not True!

yemeni110.jpg


yemeni111.jpg


yemeni112.jpg


yemeni113.jpg


yemeni114.jpg


yemeni115.jpg


yemeni116.jpg


yemeni117.jpg
Arab Jews do share culture, language, and customs with their Arab Muslim brothers. The Anglo Jews would are about to make the Yemeni Jews endangered species, in that they seek to eradicate any memories of any Arabs Jews having ever existed by luring them with their abundance of gold to stampede to Palestine

yemeni120.jpg


yemeni122.jpg


yemeni125.jpg


yemeni126.jpg


yemeni127.jpg


yemeni128.jpg


yemeni129.jpg


yemeni130.jpg


yemeni131.jpg
Yemeni Jews in support of the current regime. Can anyone spot among the Yemeni Jews anyone who resembles the Anglo Jews? Of course not!

yemeni134.jpg


yemeni135.jpg

yemeni137.jpg


yemeni142.jpg


yemeni143.jpg


yemeni144.jpg


yemeni145.jpg





yemeni151.jpg


yemeni153.jpg


yemeni154.jpg


yemeni157.jpg


yemeni159.jpg


yemeni170.jpg


yemeni146.jpg
The two Anglo Ashkenazi Jews took advantage of a crazed Yemeni man who shot and killed a Yemeni Jew during Int'l Jewry's holocaust on the people of Gaza. The Yemeni children have already been transformed into the image of the Ango-Jew; western clothes and in a little while they will forget their own Arabic language and will begin to stutter and stammer in an ancient language of Hebrew. Ashkenazi Jews have ZERO interest in black Jews!

yemeni.jpg
Transformed! The Anglo Jews changed the Yemeni family attire to Western, i.e. making the Yemeni Jews in the Anglo Jews' image. What a tragedy! The Yemeni Jews are losing their original identiy. They are on their way to Palestine to be the future killers of their own brothers, the Palestinian Aarbs.

yemeni161.jpg
Stolen Palestine is beckoning to these Yemeni Jews

yemeni163.jpg
Saying goodbye to their Yemen and hello to stolen Palestine. Overnight, the Yemeni Jews were transormed!

Source: The Yemeni Jews in Pictures
 
Vinamiilikiwa na waisraeli.

A little bit of incorrectness. Vinamilikiwa na jewish people, lakini hii haina maana vinamilikiwa na Israel. NI sawa wamarekani wenye asili ya Uingereza kuwaita waingereza, au wale jamaa wa weusi wa Marekani kuwaitya waafrika. Na issue ni kuwa wayahadi ni watu wanaojua kuwa bila pesa hawawezi kuwa salama, kwa hiyo wana akili ya ku-diversify raslimali zao. Na uchumi wa dunia hauko kwenye hizo, kwa hiyo sio uchumi wote wa dunia, naweza kusema uchumi wa dunia wote umeshikwa na Ulaya na Mashariki ya kati.
 
Katika mafundisho ya dini ya kiislam ilieleza kuwa miaka ya mbele kuna watu watakuja ulimwenguni,watataka dunia iwe kitu kitu kimoja,tuongee lugha moja, damaduni ziwe moja,elimu iwe ya aina moja, tuabudu pamoja na tutumie sarafu moja, ilimladi wote tuwe wafuasi wa mtu mmoja ambae ni MASIJIDAJAR,chongo wa jicho moja mwenye uwezo wa kupanda na kuvuna papohapo, mwenye kujiita yeye ni mugu na pia maandiko yalisema watakuja watu watakao mtaalishia makazi uyu mtu naaam,nahisi maandiko yanatimia kidogo kidogo.Sasa hivi kuna wanamziki wanaoonesha nembo ya jicho moja mafreemason, ukitaka kwenda US lazima uchenji hela yako kuwa dollar, uchumi wa dunia unashikiliwa na muungano wa mataifa mawili yani marekani na Islaer.Mataifa yatakayo pinga yatachukuliwa sheria kali sana,nakuitwa waasi ilimladi kukamilisha lengo, viongozi watakaopinga wataondolewa kwa nguvu za kijeshi, naaam apo ndo naamini kweli dunia ipo ukingoni, nduguzanguni aminini, someni, elimikeni nanyi muelimishe vizazi vyenu, hizi ni nyakati mbaya sana, yesu ama nabiisa yu njiani, Amina mungu atunusuru.
 
Wewe unaeabudu mizimu imeshakuletea nini?

Kumbuka Israel na Saudi Arabia zote ni nchi mpya. Moja imeanza 1932 moja imeanza 1945 or so.

Israeli ambayo Rome ya akina Nero ilikuwa inaitawala ndio ilianza mwaka 1945?
 
Katika mafundisho ya dini ya kiislam ilieleza kuwa miaka ya mbele kuna watu watakuja ulimwenguni,watataka dunia iwe kitu kitu kimoja,tuongee lugha moja, damaduni ziwe moja,elimu iwe ya aina moja, tuabudu pamoja na tutumie sarafu moja, ilimladi wote tuwe wafuasi wa mtu mmoja ambae ni MASIJIDAJAR,chongo wa jicho moja mwenye uwezo wa kupanda na kuvuna papohapo, mwenye kujiita yeye ni mugu na pia maandiko yalisema watakuja watu watakao mtaalishia makazi uyu mtu naaam,nahisi maandiko yanatimia kidogo kidogo.Sasa hivi kuna wanamziki wanaoonesha nembo ya jicho moja mafreemason, ukitaka kwenda US lazima uchenji hela yako kuwa dollar, uchumi wa dunia unashikiliwa na muungano wa mataifa mawili yani marekani na Islaer.Mataifa yatakayo pinga yatachukuliwa sheria kali sana,nakuitwa waasi ilimladi kukamilisha lengo, viongozi watakaopinga wataondolewa kwa nguvu za kijeshi, naaam apo ndo naamini kweli dunia ipo ukingoni, nduguzanguni aminini, someni, elimikeni nanyi muelimishe vizazi vyenu, hizi ni nyakati mbaya sana, yesu ama nabiisa yu njiani, Amina mungu atunusuru.

Nabii Isa yu njiani? atafufuliwa au? yani sijaelewa kitu nipe darsa kidogo......hapo hapo kwa Nabii Isa kurudi......pia kazi yake ni ipi akirudi? nipe darsa kidogo....

Asanta...
 
Unaweza ukawa na GDP kuuuubwa lakini GDP PER CAPITA ikawa ndogo

Sawa, GDP per capita ya Israel ni ngapi?

.... jipange upya.....GDP sio kipimo sio indicator significant for economy status.... kuna vitu vingi... GROSS NATIONAL SAVINGS...DOMESTIC INVESTMENT...HOUSING...MEDICAL AND HEALTH SERVICES....

Sawa, niwekee basi namba za Israel kwenye hayo mambo....


UNEMPLOYMENT...INCOME DISTRIBUTION.... na nyingine nyingi....tuta choshana tu... ila kifupi GDP sio indicator inayoaminika katka kutabiri au kutambua hali ya uchumi wa nchi.... inaweza kukua kwa kupunguza thamani ya pesa....lakini kiukweli haujakuwa ...mfano GDP ya Tanzania by 2012 ilikuwa USD 28 BILS ....karibuni hapa unaambiwa ni USD 31 BILS ki akili ya KINDEZINDEZI utasema uchumi umekuwa ..lakini ni hola hamna kitu... moja ni mauzo ya gold, alomasi ambazo hata hazina faida kwa nchi yalipelekea GDP kupanda.... pili shilingi kushuka thamani leo USD 1 sio ile ya 2012... so ndufu yangu usijidanganye kukimbilia GDP...ni hayo tu...afu unilipe hii tuisheni

Sawa, niwekee basi walau namba za hizo categories ulizozitaja kuhusu Israel......

Niwekee ili tuweze kulinganisha na nchi zingine.
 
Jaribu kutumia kichwa kidogo kufikiri.

SISI Wahamiaji tuishio USA TUNAKATWA KODI YETU na Hio ndio iendayo ISRAEL kuwanenepesha wale WAUWAJI.

Sasa huo utumbo wa kusema Wanaowapa ni WAISRAELI WENZAO umeuotoa CHADEMA au?

Hivi Watanzania lini tutaacha KUROPOKA OVYO?

Duh! Yaani utafkiri taifa letu limepigwa laana ya UJINGA!

yesu wangu eee!

Naomba nikuulize swali mkuu. Kwanini huu uchaguz wa juzi juzi kule Marekan Obama na hata yule wa Republic walienda mpaka Israeli kupiga kampein mkuu ulishawah kujiuliza? Kwanini hawakwenda popote zaid ya Israeli?
 
WATANZANIA MNA SHIDA KWELI,, HAYA BASI NA NYIE WOOOTE NI WAYAHUDI,, mmekomaa kuwatetea na kuwasifia wayahudi na ISRAELI,, kila kizuri leo hii cha wayahudi,,, NA YALE MAKOMBORA YA KOREA KASKAZINI NI YAWAYAHUDI, TANZANIA YENYE MADINI, MAFUTA, MITO, GAS, WANYAMA ETC NAYO NIYAWAYAHUDI...
TUJADILI MATATIZO YA KWETU NAKUYATATUA TUACHE HUU UTOTO KWANI MYAHUDI NI NANI???

ULISHAWAHI KUJIULIZA KWA NINI PALESTINA HAWANA JESHI, HAWATAKIWI KUWA NA SILAHA,, KAMA WAO WANAAKILI NA NGUVU WARUHUSU WAPALESTINA WAWE NA MAMLAKA KAMILI NAO WANUNUE SILAHA NA KILA KITU WAWENACHO,, AU UGENIOUS NI KUPIGANA NA WANAMGAMBO (militants), WASIO HATA NA DOLA...

SUALA NI HAKI IFANYE KAZI, MIPAKA IANGALIWE PALESTINA APEWE HAKI YAKE,, NA SIO KUWALAZIMISHA WAAMINI YALE YALIOANDIKWA KWENYE BIBLE, AMBAYO ILIANZIA HAPOHAPO ISRAELI... NA WAPALESTINA HAWAIAMINI., KWA NINI SHERIA ZA UMOJA WA MATAIFA ZISITUMIKE NA KILA MTU AKAPATA HAKI YAKE,,, MAANA ISRAELI YEYE ANASEMA ILE NI NCHI YAKE YA AHADI USHAHIDI ANATUMIA BIBLE,, NANI KAANDIKA HII BIBLE?? (bible ni kitabu anachoamini yeye, wengine hakiwahusu).
 
broda hujui madai makubwa ya wapalestina ni kuwa wayahud ni wahamiaji kutoka ulaya? hawa watu awe amezaliwa popote pale dunian macho yke yote yapo Israeli na kwa taarifa yako huwez kuwa rais nchin Marekan bila kwanza hawa watu kukubali. wanamiliki vyombo vyote vya maamuzi sio Marekan ulaya mpaka Urusi hata hukoAmerica ya kusin na South africa.

ACHA UONGO WEWE,,, KILA PENYE ZURI mtasema ni MAYAHUDI,, hizi ni story za vijiweni kaka... HAPA DUNIANI MUNGU AMEUMBA BINADAMU WOTE SAWA NA TUMUABUDU YEYE, HAKUNA MTEULE HAPA.. ni suala la kutumia akili yako vizuri na kujiletea maendeleo. SASA LEO ISRAELI AKIUA WATU MNASEMA TAIFA TEULE ( dah hapa napata shida sana, jamaa waliitengeneza kweli hii DRAMA). hivi wewe unawajua URUSI aka SOVIETI UNION Mpaka useme ni wayahudi BASI KUMBE HATA HITTLER NI MYAHUDI..., OSSAMA NAYE ATAKUWA MYAHUDI SASA... NA WALE WAMAREKANI WEUSI KULE MAREKANI NAO NI WAYAHUDI..
TUTUMIE BASI HATA VICHWA VYETU KUFIKILI NA SIO KUTUMIA AKILI ZA KUSHIKIWA..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom