State Propaganda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 542
- 1,286
We unataka tunyimwe msaada na USNchi wanachama rasmi wa BRICS (Full BRICS Members)
1. [emoji1054] Brazil
2. [emoji635] Russia
3. [emoji1128] India
4. [emoji630] China
5. [emoji1221] South Africa
6. [emoji1256] UAE
7. [emoji1130] Iran
8. [emoji1093] Egypt
9. [emoji1098] Ethiopia
Nchi maswahiba rasmi wa BRICS (Official BRICS Partner Countries)
10. [emoji1026] Algeria
11. [emoji1044] Belarus
12. [emoji1050] Bolivia
13.[emoji1083] Cuba
14.[emoji1129] Indonesia
15.[emoji1138] Kazakhstan
16.[emoji1157] Malaysia
17.[emoji1184] Nigeria
18.[emoji1242] Thailand
19.[emoji1250] Turkey
20.[emoji1254] Uganda([emoji122][emoji122]Big up m7)
21.[emoji1260] Uzbekistan
22.[emoji1264] Vietnam
Tanzania[emoji53] wacha tuendelee kuimba "Iyena iyena"
So Fkng stupids[emoji83]
Nchi yetu haifungamani na upande wowoteNchi wanachama rasmi wa BRICS (Full BRICS Members)
1. ๐ง๐ท Brazil
2. ๐ท๐บ Russia
3. ๐ฎ๐ณ India
4. ๐จ๐ณ China
5. ๐ฟ๐ฆ South Africa
6. ๐ฆ๐ช UAE
7. ๐ฎ๐ท Iran
8. ๐ช๐ฌ Egypt
9. ๐ช๐น Ethiopia
Nchi maswahiba rasmi wa BRICS (Official BRICS Partner Countries)
10. ๐ฉ๐ฟ Algeria
11. ๐ง๐พ Belarus
12. ๐ง๐ด Bolivia
13.๐จ๐บ Cuba
14.๐ฎ๐ฉ Indonesia
15.๐ฐ๐ฟ Kazakhstan
16.๐ฒ๐พ Malaysia
17.๐ณ๐ฌ Nigeria
18.๐น๐ญ Thailand
19.๐น๐ท Turkey
20.๐บ๐ฌ Uganda(๐๐Big up m7)
21.๐บ๐ฟ Uzbekistan
22.๐ป๐ณ Vietnam
Tanzania๐ wacha tuendelee kuimba "Iyena iyena"
So Fkng stupids๐น
Ukisikia akili za funza ndio hiziWe unataka tunyimwe msaada na US
Ikiwa hivyo ndio itakuaje?Nchi wanachama rasmi wa BRICS (Full BRICS Members)
1. ๐ง๐ท Brazil
2. ๐ท๐บ Russia
3. ๐ฎ๐ณ India
4. ๐จ๐ณ China
5. ๐ฟ๐ฆ South Africa
6. ๐ฆ๐ช UAE
7. ๐ฎ๐ท Iran
8. ๐ช๐ฌ Egypt
9. ๐ช๐น Ethiopia
Nchi maswahiba rasmi wa BRICS (Official BRICS Partner Countries)
10. ๐ฉ๐ฟ Algeria
11. ๐ง๐พ Belarus
12. ๐ง๐ด Bolivia
13.๐จ๐บ Cuba
14.๐ฎ๐ฉ Indonesia
15.๐ฐ๐ฟ Kazakhstan
16.๐ฒ๐พ Malaysia
17.๐ณ๐ฌ Nigeria
18.๐น๐ญ Thailand
19.๐น๐ท Turkey
20.๐บ๐ฌ Uganda(๐๐Big up m7)
21.๐บ๐ฟ Uzbekistan
22.๐ป๐ณ Vietnam
Tanzania๐ wacha tuendelee kuimba "Iyena iyena"
So Fkng stupids๐น
Hakuna Cha game changer,waingereza wamejitoa EU na hakuna hasara wanapataNdiyo maana kuna wakati nilikuwa nawaza upinzani wa Simba na Yanga ungekuwa wa CCM na Chadema. BRICS ni game changer nzuri duniani.
Tatizo tunajiunderestimate sana Tanzania ila kuna uwezekano ukija kwenye uhalisia Jamhuri si nyepesi kama inavyoonekana kwa nje. Maamuzi inayochukua linapokuja suala la upande gani ikae mpaka sasa naamini ni sahihi kwa watu wake.Ikiwa hivyo ndio itakuaje?
Nimewahi andika kwamba ulisikia sera ya kutofungamana na upande wowote ni unafiki na Haina Msaada Bali hasara.
Tanzania tunataka tuwe tunakula pande zote zote japo huwezi pata sawa na wale waliochagua upande maana unakuwa huaminiki yaani unaweza kuwachoma wenzako.
Mwisho inakuaje Nigeria ambae ni kibaraka wa West anakuwa swahiba? Si Bora hapo angekuwepo Tanzania?
Ujinga,kama Egypt ambae anaongoza kula hela ya USA Yuko bricks sembuse Tanzania?We unataka tunyimwe msaada na US
Ni ujinga sasaNchi yetu haifungamani na upande wowote
Jiungeni muone kama mtapata ufadhili wa ujenzi wa vyoo toka USANi ujinga sasa
Sijui point yako ilipo, lakini mimi naamini BRICS ikikuwa na kupata nguvu inayofanana au kukaribiana na taasisi za Bretton Woods itakuwa nafuu kwa ulimwengu maana ukiangalia hizo nchi ambazo tayari members, kuna meaningful consideration ya kiuchumi.Hakuna Cha game changer,waingereza wamejitoa EU na hakuna hasara wanapata
Atoe pesa mwingine harafu wewe uje kuchukua Kwa maelezo ya meaningful sijui nini? Ujinga mtupu,Africa tumeshundwa ndio tutegemee Umoja mwingine wa Wazungu?Sijui point yako ilipo, lakini mimi naamini BRICS ikikuwa na kupata nguvu inayofanana au kukaribiana na taasisi za Bretton Woods itakuwa nafuu kwa ulimwengu maana ukiangalia hizo nchi ambazo tayari members, kuna meaningful consideration ya kiuchumi.
Tutapata kwinginekoJiungeni muone kama mtapata ufadhili wa ujenzi wa vyoo toka USA
Acha kuwafananisha Waganda ambao nipo nao hapa nchini Kwao Uganda na Wapumbavu wengine wanaojulikana.Nchi wanachama rasmi wa BRICS (Full BRICS Members)
1. ๐ง๐ท Brazil
2. ๐ท๐บ Russia
3. ๐ฎ๐ณ India
4. ๐จ๐ณ China
5. ๐ฟ๐ฆ South Africa
6. ๐ฆ๐ช UAE
7. ๐ฎ๐ท Iran
8. ๐ช๐ฌ Egypt
9. ๐ช๐น Ethiopia
Nchi maswahiba rasmi wa BRICS (Official BRICS Partner Countries)
10. ๐ฉ๐ฟ Algeria
11. ๐ง๐พ Belarus
12. ๐ง๐ด Bolivia
13.๐จ๐บ Cuba
14.๐ฎ๐ฉ Indonesia
15.๐ฐ๐ฟ Kazakhstan
16.๐ฒ๐พ Malaysia
17.๐ณ๐ฌ Nigeria
18.๐น๐ญ Thailand
19.๐น๐ท Turkey
20.๐บ๐ฌ Uganda(๐๐Big up m7)
21.๐บ๐ฟ Uzbekistan
22.๐ป๐ณ Vietnam
Tanzania๐ wacha tuendelee kuimba "Iyena iyena"
So Fkng stupids๐น
Pesa kama ilivyo rasilimali nyingine duniani hazinaga mwenyewe. Kinachomata ni utilization capacity and ability. Wee wache wazitafute mwishowe tutaenda kuzikopa na maisha kuendelea.Atoe pesa mwingine harafu wewe uje kuchukua Kwa maelezo ya meaningful sijui nini? Ujinga mtupu,Africa tumeshundwa ndio tutegemee Umoja mwingine wa Wazungu?
Si Bora tuchangie pesa Iko tuwe na usemi mkubwa AfDB badala ya USA na Wazungu kama ilivyo Sasa?
Uko sahihi kabisa Chawa wa Mama yenu Wapumbavu kamwe hatuwezi kuwaiga Werevu akina Uganda na Rwanda.We ni mwehu? Ni lazima tuige wengine. Kila nchi ina msimamo na mtazamo wake. Kwani huko BRICS kuna nini, acha ulimbukeni bwanamdogo