Kumbe Uganda ni official BRICS + Partner Country!

Ukimwuliza Museven alichokipata huko hana majibu. Ni kama tu vile watu wanavyoingia kwenye magroup ya whatsup.
 
Kuwa mwanachama wa BRICS hakuna maana yoyote kwa maendeleo ya nchi kama hamna mipango na utekelezaji sahihi.

Waafrika na Watanzania tuache mindset za kimisada kwani hakuna nchi iliyoendelea kwa kuwa mwanachama wa BRICS au NATO bila kuwa na mipango mizuri na utekelezaji wake.
 
Hahaha CCM ilipeleka muwakilishi kwa siri. Chadema wangemuona wangemsema kwa wenye pesa zao za ndani.

Uganda, ni brics mjanja anayetumia dollar. Yani ni oppirtunistic, yuko kote kote.
 
Upumbavu mwingine huu hauna maslahi yeyote, tupo organization zote duniani mpaka chaputa tumo, waste of time and money
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ